Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?

Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.

Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Mcheki Ngoswe na mazoea hapo.
 
Hao wanaotaka uthibitisho wa kinachosemwa hakipo sidhani kwamba hata maana ya uthibitisho wanaielewa.

Kwanza naona uwaulize watoe definition yao ya uthibitisho.
Uthibitisho = hakikisha kwa maelezo, vitendo au vielelezo kuwa jambo fulani ni sahihi.

 
OKAY THANKS ..YOU SAYED ITS A MATTER WHICH IS NEVER CREATED.. SO THEN HOW DOES NON-CREATED THING DO OCCUR???
Obviously you mean "vacuum" or"nothing* or something or anything else!

In terms of my understanding of "creation" = a product of/from
something it can be through any physical/chemical way/method or change.

Nipe mfano wa kitu kama hicho;
 
Kwa akili yake huyu, tukitunga neno ambalo liko kinyume na MUNGU, tuliite UGNUM (tumezipindua zile herufi za neno MUNGU kuanzia kulia kwendakushoto, kuwakilisha kinyume cha MUNGU kuwepo) neno hili liwe na maana ya kutokuwepo MUNGU, ukweli kwamba tumeweza kulifikiria na kulitunga hilo neno utamaanisha MUNGU hayupo.

Kwa sababu tumeweza kuumba neno linalowakilisha kutokuwepo kwa MUNGU.

Kwa akili zake, MUNGU anaweza kuwepo na asiwepo katika wakati huo huo mmoja.

Kwa sababu kuna watu wameweza kuumba neno MUNGU, linalowakilisha kuwapo kwa MUNGU, na wengine wameweza kuumba neno UGNUM, linalowakilisha kutokuwapo kwa Mungu.

Ingekuwa mambo ni rahisi hivyo, kusingekuwa na mtu anayehitaji kufanya kazi.

Kila mtu angejiita trillionaire, na kwa kujiita hivyo angekuwa trillionaire. Chaos.

Ridiculous!
"UGNUM" Ni herufi zipatikanazo kwenye alphabet.

Umewezaje kuzitaja kama hazipo?.
 
Hao wengine ni flat earthers sijadiliani nao hata wanachoandika sioni.Nilishawaweka kwenye ignore list.

Nitaanzaje kubishana na mtu anayesema the earth is flat huu mwaka 2019?
Hata sisi hatuwezi kuendelea kubisha na mtu ambaye hajawahi kujikuta katembea kichwa chini miguu juu kwa sababu ya dunia kumzungusha.Wala hajawahi kuona maji ya bahari yakimwagika kutokana dunia kuyazungusha. Wala yeye mwenyewe hajawahi kuangali chini ya miguu yake akaiona mbingu,bali uangalia juu daima ili kuiona mbingu huu 2019 na bado anadai dunia duara!.

WASHIKIWA AKILI KAMA HUYU!WA NINI SASA?.
 
Hivi unaelewa Mantiki ya maneno haya

Mungu muweza wa yote
Mjuzi wa yote
Mwenye upendo kwa wote '... Hizo ndio figure ambazo Zina mfanya huyo mungu wenu aonekane kuwa ni wakufikirika. ..

Mungu angekuwa ni muweza wa yote. .asingeumba dunia ambayo ina mapungufu kibao ..ikiwemo matetemeko. Maradhi. Njaa. Kifo. Na majanga ya kila Aina. ..uwepo wa hivyo vyote inadhihirisha kuwa maandiko yanayo tu taka tutambue kuwa mungu ni muweza wa yote Yana jipinga yenyewe -kwa sababu kama angelikuwa nimuweza wa yote kweli asingeiumba dunia yenye mapungufu kiasi hicho. ..

Mungu angekuwa ni mjuzi wa yote -- asinge muumba shetani wakati anajua kuwa atakuja kumsaliti " asinge wa agiza Adamu na Eva kuto kula tunda wakati anajua fika kuwa hawatoweza kuitekeleza amri yake --..Angekuwa ni mjuzi wa yote Asinge shindwa kuiumba dunia yenye mapungufu kiasi hiki ---

Mungu angekuwa ni mwenye upendo kwa wote ---asinge kuwa ana ya acha Mataifa yenye nguvu yazipige vita Mataifa dhaifu. .asinge acha matetemeko ya waue watu. ...wakiwemo watoto ambao hawana makosa yeyote. .......ilhali wakati huo huo Kuna watu wa Mataifa mengine wapo kwenye furaha -- hapo mantiki ya upendo wake kwa wote iko wapi --hauoni hapo hayo maandiko yanaonyesha kumpachika mungu sifa ambazo hana "" wakati binaadamu wengine Wana kufa kwa Njaa wengine Wana kula na kusaza '' ina maana huyu mungu ana double standard ---!!? Kama jibu ni ndio? Je huo upendo wake kwa wote uko wapi? ?

Je tukisema kuwa mungu hayupo kutokana na hizo sifa mnazo mpachika kutokuwa nazo itakuwa tunakosea? ?

So---Hivi hapo Mnacho shindwa haswa kumuelewa kiranga ni nini? ? Hamuoni kuwa vitabu vyenu vina muhubiri mungu ambaye ambaye hayupo na vitabu vyenu vinajipinga vyenyewe kudhihirisha hilo
"Mungu muweza wa yote
Mjuzi wa yote
Mwenye upendo kwa wote"

Humetoa wapi hizo sifa?.
 
Hawking was never God so he cannot be final authority on anything. A man who happened to study Physics and endowed great capabilities by the God he hated. Unfortunately he knows bitter truth now and there's nothing he can do...!
 
Hawking was never God so he cannot be final authority on anything. A man who happened to study Physics and endowed great capabilities by the God he hated. Unfortunately he knows bitter truth now and there's nothing he can do...!
How do you mean,he knows bitter truth?
 
Hawking was never God so he cannot be final authority on anything. A man who happened to study Physics and endowed great capabilities by the God he hated. Unfortunately he knows bitter truth now and there's nothing he can do...!
Thibitisha Mungu unayemsema yupo, yupo kweli na si hadithi tu.
 
How do you mean,he knows bitter truth?
The Lord of the Universe never left us blind. He gave us ample evidence for us to know where we came from, what we are doing here and why things are the way they are and after life. No need to gamble for any serious person!
 
The Lord of the Universe never left us blind. He gave us ample evidence for us to know where we came from, what we are doing here and why things are the way they are and after life. No need to gamble for any serious person!
Thibitisha Mungu unayemsema yupo, yupo kweli na si hadithi tu.
 
Thibitisha Mungu unayemsema yupo, yupo kweli na si hadithi tu.
Why should I? Wewe uliyesema there is no possibility uthibitisho uko wapi? Hivi bado upo na dini yako ileile?
Salaam!
 
Why should I? Wewe uliyesema there is no possibility uthibitisho uko wapi? Hivi bado upo na dini yako ileile?
Salaam!
The burden of proof is on the one who says something is there, not on the one who disputes that.

Because, that which is not there, is not there, and outside of logical abstracts, cannot be proved that it is not there, because it is not there.

That which is there, is there, and can be proved that it is there.

Ndiyo maana polisi wakiambiwa nyumbani kwa Stefano Mtangoo kuna madawa ya kulevya, wanatafuta search warrant na mashahidi, wanakuja kuyatafuta hayo madawa, wakipata madawa hayo wanakuwa wamepata ushahidi.

Hawakuambii wewe mwenye nyumba unayesema nyumba yako haina madawa ya kulevya uthibitishe kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya.

Thibitisha Mungu unayemsema yupo, yupo kweli na si hadithi tu.
 
Usikwepe swali kwa kujificha kwenye kichaka cha tufe na maji,
Ngoja niende sawa unavyotaka
Tuseme sawa haiwezekani maji kukaa juu ya tufe na sayansi ilikosea hapa mjadala ushaisha tunahama tushajua sayansi imekosea hilo halina mjadala
Tuje kwenye biblia na quran vitabu ambavyo unaviamini na havina kasoro
Unakubali jua linazama kwenye matope meusi????
Unakubali kuna nyoka anayeongea na binadamu mpaka kufikia hatua ya kumshawishi binadamu???
Hayo matope ni matope ya wapi na huwa hayakauki?
 
Kama ulisoma walau kuanzia elimu ya sekondari kuna vitabu tulivitumia kujibia kiingereza na Kiswahili.
Kuanzia kizazi changu kielimu cha miaka ya 1996 tulikuwa na wakina Okonkwo (Things fall apart), kina Sikamona ndani ya zawadi ya ushindi, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo (Kiu ya Haki) na wengineo.
Walikuwepo pia kina Hawa the bus driver na Mabala the farmer kwa F1 na F2.
Tuliwajadili ma characters hawa na mpaka leo hii mtu ukimwambia afanye i margination ya Hawa the bus driver bila shaka atakwambia ni lijimama fulani lililojaa mwili na minguvu mingi.
Kwa kuwa characters hawa wana majina, tuliwajadili, tuliwahisi kifikira, tukawatamka na kujibia mitihani uhusika wao je,
Kwa maelezo yako wakina Okonkwo,Sikamona, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo na Hawa the bus driver wapo kiuhalisia, nje ya dhana ya kufikirika?
Kivipi?
Kwani tukianza kujadili habari za kina Harakati za Pimbi,Kipepe,Lodilofa, Sokomoko na Ndumila kuwili wa gazeti la Sani enzi hizo, hapo tayari hao watu wanakuwa wapo kweli kiuhalisia, nje ya masimulizi ya kufikirika pekee!?
Unaelewa ya kwamba Mungu nae amebuniwa na kuingizwa ndani ya vitabu mnavyovisema vya Mungu, kama ambavyo kina Harakati za Pimbi walivyoingizwa ndani ya gazeti la Sani!?
Mungu hazungumziwi kwenye vitabu tu na ndiyo maana ukiangalia karibu kila jamii na lugha zote zina hilo neno Mungu,sasa huyo aliyebuni alianzia kubunia wapi na lini?
 
Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho. ... Hivi unaweza kuthibitisha kitu Kisicho kuwepo kweli '?
Kabla ya kusema kitu fulani hakipo lazima kwanza tupitie hatua ya kuhakiki kuwa hicho kitu kweli hakipo,sasa nyie mnarukia kusema kitu fulani hakipo na hapo hapo mnahitimisha kuwa huwezi kuthibitisha kuwa hakipo. Uthibitisho unatupa uhakika,sasa kama hatuwezi kuthibitisha tunawezaje kusema kwa uhakika kuwa kitu fulani hakipo?

Hivi kinachofanya kushindikana kuthibitisha kutokuwepo kwa kitu ni nini?
 
Umeambiwa thibitisha uwepo wake. ..Lakini mpaka hii leo bado unashindwa
Sifa za huyo Mungu zinajulikana sasa hebu niambie ni kipi kinatarajiwa kupatikana kwenye huo uthibitisho wa kuthibitisha uwepo wake? Mfano mie mtu akiniambia kawa bonge na nikihitaji uthibitisho basi natarajia kumuona huyo mtu akiwa na mwili mkubwa.
 
Tunasema hayupo kwa sababu sifa zinazo muelezea huyo mungu hazipo zina ji -contradict zenyenyewe

mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ?? Mungu muweza wa yote -wakati tunaona kuwa tunaishi kwenye dunia iliyojaa mapungufu kibao yanayo changia mauti kwa viumbe mbali mbali lazima tuhoji kwanini asinge utumia huo uweza wa yote kuifanya dunia kuwa complete --kama ame shindwa kufanya hivyo huo uwezo wake wa yote unatoka wapi? ?

Mungu muweza wa yote --halafu habari za uungu wake ili ziweze kuwafikia watu wengine --ana wa tegemea binaadamu wa mpigie promo kwa binaadamu wenzie ili ndio apate kufahamika ---kwanini asinge litumia huo uweza wake wa yote ---binaadamu ikawa anazaliwa huku akiwa tayari anamjua mungu huyo. .kama ambavyo anavyo zaliwa akiwa na hisia za kuitambua huzuni na furaha. ....kitendo cha mungu kutegemea watu wa mfanyie promo ya kujulikana kwa watu wengine wakati mungu huyu anajinadi kuwa ni muweza wa yote --Kina dhihirisha kuwa mungu huyo ni dhaifu na hana uweza huo anaojipachika ''kama uwezo huo hana Basi ya maanisha kwamba Mungu huyo hayupo. .kwa sababu sifa zinazo elezea ukuu wake ni sifa ambazo Zina jipinga zenyenyewe. ....



So thibitisha kwamba ----Mungu muweza wa yote
Mwenye upendo kwa wote
Mjuzi wa yote yupo ''' -------ukishindwa kuthibitisha hilo sidhani kama patakuwa na haja ya mimi kuendelea kujibu quote zako
Kabla ya kusema kitu fulani hakipo lazima kwanza tupitie hatua ya kuhakiki kuwa hicho kitu kweli hakipo,sasa nyie mnarukia kusema kitu fulani hakipo na hapo hapo mnahitimisha kuwa huwezi kuthibitisha kuwa hakipo. Uthibitisho unatupa uhakika,sasa kama hatuwezi kuthibitisha tunawezaje kusema kwa uhakika kuwa kitu fulani hakipo?

Hivi kinachofanya kushindikana kuthibitisha kutokuwepo kwa kitu ni nini?
 
Back
Top Bottom