Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Hivi unaelewa Mantiki ya maneno haya
Mungu muweza wa yote
Mjuzi wa yote
Mwenye upendo kwa wote '... Hizo ndio figure ambazo Zina mfanya huyo mungu wenu aonekane kuwa ni wakufikirika. ..
Mungu angekuwa ni muweza wa yote. .asingeumba dunia ambayo ina mapungufu kibao ..ikiwemo matetemeko. Maradhi. Njaa. Kifo. Na majanga ya kila Aina. ..uwepo wa hivyo vyote inadhihirisha kuwa maandiko yanayo tu taka tutambue kuwa mungu ni muweza wa yote Yana jipinga yenyewe -kwa sababu kama angelikuwa nimuweza wa yote kweli asingeiumba dunia yenye mapungufu kiasi hicho. ..
Mungu angekuwa ni mjuzi wa yote -- asinge muumba shetani wakati anajua kuwa atakuja kumsaliti " asinge wa agiza Adamu na Eva kuto kula tunda wakati anajua fika kuwa hawatoweza kuitekeleza amri yake --..Angekuwa ni mjuzi wa yote Asinge shindwa kuiumba dunia yenye mapungufu kiasi hiki ---
Mungu angekuwa ni mwenye upendo kwa wote ---asinge kuwa ana ya acha Mataifa yenye nguvu yazipige vita Mataifa dhaifu. .asinge acha matetemeko ya waue watu. ...wakiwemo watoto ambao hawana makosa yeyote. .......ilhali wakati huo huo Kuna watu wa Mataifa mengine wapo kwenye furaha -- hapo mantiki ya upendo wake kwa wote iko wapi --hauoni hapo hayo maandiko yanaonyesha kumpachika mungu sifa ambazo hana "" wakati binaadamu wengine Wana kufa kwa Njaa wengine Wana kula na kusaza '' ina maana huyu mungu ana double standard ---!!? Kama jibu ni ndio? Je huo upendo wake kwa wote uko wapi? ?
Je tukisema kuwa mungu hayupo kutokana na hizo sifa mnazo mpachika kutokuwa nazo itakuwa tunakosea? ?
So---Hivi hapo Mnacho shindwa haswa kumuelewa kiranga ni nini? ? Hamuoni kuwa vitabu vyenu vina muhubiri mungu ambaye ambaye hayupo na vitabu vyenu vinajipinga vyenyewe kudhihirisha hilo
Mimi naposhindwa kuelewa ni hapo kwamba mnapinga uwepo wa Mungu au mnapinga kwamba huyo Mungu hakuumba huu ulimwengu?
 
Tunapinga uwepo wa Mungu kwa sababu sifa zake ---'-zinazo muelezea hazina mantiki. ....

Kwani kilicho umba huu ulimwengu lazima kiwe/awe mungu ambaye hawezi kuthibitika uwepo wake? ...

Yaani hapo inaonyesha wazi kuwa Unaamini uwepo wa huyo mungu kwakuwa unatokea katika jamii iliyo karilishwa kuhusu uwepo wake

Tunasema hayupo kwa sababu sifa zinazo muelezea huyo mungu hazipo zina ji -contradict zenyenyewe
mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ?? Mungu muweza wa yote -wakati tunaona kuwa tunaishi kwenye dunia iliyojaa mapungufu kibao yanayo changia mauti kwa viumbe mbali mbali lazima tuhoji kwanini asinge utumia huo uweza wa yote kuifanya dunia kuwa complete --kama ame shindwa kufanya hivyo huo uwezo wake wa yote unatoka wapi? ?
Mungu muweza wa yote --halafu habari za uungu wake ili ziweze kuwafikia watu wengine --ana wa tegemea binaadamu wa mpigie promo kwa binaadamu wenzie ili ndio apate kufahamika ---kwanini asinge litumia huo uweza wake wa yote ---binaadamu ikawa anazaliwa huku akiwa tayari anamjua mungu huyo. .kama ambavyo anavyo zaliwa akiwa na hisia za kuitambua huzuni na furaha. ....kitendo cha mungu kutegemea watu wa mfanyie promo ya kujulikana kwa watu wengine wakati mungu huyu anajinadi kuwa ni muweza wa yote --Kina dhihirisha kuwa mungu huyo ni dhaifu na hana uweza huo anaojipachika ''kama uwezo huo hana Basi ya maanisha kwamba Mungu huyo hayupo. .kwa sababu sifa zinazo elezea ukuu wake ni sifa ambazo Zina jipinga zenyenyewe. ....
So thibitisha kwamba ----Mungu muweza wa yote
Mwenye upendo kwa wote
Mjuzi wa yote yupo ''' -------ukishindwa kuthibitisha hilo sidhani kama patakuwa na haja ya mimi kuendelea kujibu quote zako
Unaweza kuthibitisha ni vp Mungu anashindwa kumzibitii Shetani ili nikubaliane na wewe kuwa kweli Mungu hana uwezo wote? Hivi nikisema kuwa Marekani haina nguvu za kijeshi ndiyo maana haiwezi kuishambulia Iran na NK,je nitakuwa sahihi ?
 
Kuran ndiyo imeandika maelezo haya, kwani hujawahi yaona?
Kuandika sio tatizo bali kuelewa kile kilichoandikwa ndio tatizo na ndiyo maana utaona kuna waalimu wa kufundisha hiyo Qur'an,sasa sidhani kama kuna maelezo yenye kueleza kwamba jua huwa linazama kwenye matope. Kwenye Qur'an kumeelezwa vitu vingi kama kuongea kwa wanyama,ardhi hadi mawe na vyote waaamini wa hiyo Qur'an hawajakataa kwamba Qur'an haijasema hivyo,lakini leo hii hata nikienda kumuuliza Sheikh kwamba jua huwa linazama matope gani ataniona chizi maana hakuna mafunzo kwenye Qur'an. Hivyo wewe unayesema kuwa Qur'an inasema inasema jua huzama kwenye matope ndio mtu sahihi wa kukuuliza.
 
Unaweza kuthibitisha ni vp Mungu anashindwa kumzibitii Shetani ili nikubaliane na wewe kuwa kweli Mungu hana uwezo wote? Hivi nikisema kuwa Marekani haina nguvu za kijeshi ndiyo maana haiwezi kuishambulia Iran na NK,je nitakuwa sahihi ?
Hahaha --kumbe ndio maana kiranga huwa ana jichu kulia points 3 kila nyakati ambayo huwa ana fanya debate na nyinyi. ...

USA ni taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi ---lakini halijawahi kujitangaza kuwa ni wajuzi wa yote -Uwezo wa yote -upendo kwa wote. .....

So kitendo cha kuwa na jeshi kubwa halafu wakashindwa kupiga Korea ---kwa watu wenye akili timamu hakiwezi kuleta taharuki kwao --kwa sababu wanajua licha ya ukubwa wa jeshi la marekani dhidi ya korea jeshi hilo linaweza kushindwa vita kutokana na sababu zozote za kibinaadamu ''na wala haitoleta hoja kuwa jeshi hilo hali kuwa kubwa kwa sababu licha ya ukubwa wao hawajawahi kusema kuwa wao ni wajuzi wa yote -- uwezo wa yote -Upendo wa yote '"

Kitendo cha Mungu ----kusema kuwa ni muweza wa yote halafu bado akamuacha shetani awarubuni watu ambao mungu amewatangazia kuwa ana upendo kwa wote dhidi yao. ....ni kitendo ambacho kina onyesha kuwa Mungu huyo ni mdanganyifu dhidi ya watu wake. .. (hivi unaweza kuwa acha wanao nyumba moja na gaidi halafu una waambia kuwa una upendo kwa wote dhidi yao Hai make sense )....

Na kwa sifa ya mungu inayo elezwa kwenye vitabu inamtaja mungu huyo kuwa ni mkamilifu '''ilhali tukimchanganua tuna muona kuwa ni mungu mdanganyifu '--- Basi tunachalea kusema kwamba Mungu huyo hayupo ''kwa sababu sifa zake Zina jipinga zenyewe
 
Tunapinga uwepo wa Mungu kwa sababu sifa zake ---'-zinazo muelezea hazina mantiki. ....
Kwani kilicho umba huu ulimwengu lazima kiwe/awe mungu ambaye hawezi kuthibitika uwepo wake? ...
Yaani hapo inaonyesha wazi kuwa Unaamini uwepo wa huyo mungu kwakuwa unatokea katika jamii iliyo karilishwa kuhusu uwepo wake
Nakuuliza hivyo kwa sababu mnasema huu ulimwengu unapingana na sifa za Mungu,ndiyo maana nataka kujua kuwa tatizo ni huu ulimwengu ambao unasemwa kuwa umeumbwa na yeye? Mfano unaposema "Mungu mwenye upendo hawezi kuumba dunia yenye maovu" hii kauli ina maana ya kwamba Mungu(anayekusudiwa) hana huo upendo kama inavyosemwa au huu ulimwengu hajaumba yeye ndiyo kuna maovu wakati angeumba yeye kusingekuwepo hayo maovu.
 
Kuandika sio tatizo bali kuelewa kile kilichoandikwa ndio tatizo na ndiyo maana utaona kuna waalimu wa kufundisha hiyo Qur'an,sasa sidhani kama kuna maelezo yenye kueleza kwamba jua huwa linazama kwenye matope. Kwenye Qur'an kumeelezwa vitu vingi kama kuongea kwa wanyama,ardhi hadi mawe na vyote waaamini wa hiyo Qur'an hawajakataa kwamba Qur'an haijasema hivyo,lakini leo hii hata nikienda kumuuliza Sheikh kwamba jua huwa linazama matope gani ataniona chizi maana hakuna mafunzo kwenye Qur'an. Hivyo wewe unayesema kuwa Qur'an inasema inasema jua huzama kwenye matope ndio mtu sahihi wa kukuuliza.
Kama kuandikwa si tatizo sasa hapa una defense nini??

Unataka kupinga kua habari hizi si za kweli na hazijaandikwa kwenye kuran?
 
Hahaha --kumbe ndio maana kiranga huwa ana jichu kulia points 3 kila nyakati ambayo huwa ana fanya debate na nyinyi. ...
USA ni taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi ---lakini halijawahi kujitangaza kuwa ni wajuzi wa yote -Uwezo wa yote -upendo kwa wote. .....
So kitendo cha kuwa na jeshi kubwa halafu wakashindwa kupiga Korea ---kwa watu wenye akili timamu hakiwezi kuleta taharuki kwao --kwa sababu wanajua licha ya ukubwa wa jeshi la marekani dhidi ya korea jeshi hilo linaweza kushindwa vita kutokana na sababu zozote za kibinaadamu ''na wala haitoleta hoja kuwa jeshi hilo hali kuwa kubwa kwa sababu licha ya ukubwa wao hawajawahi kusema kuwa wao ni wajuzi wa yote -- uwezo wa yote -Upendo wa yote '"
Kitendo cha Mungu ----kusema kuwa ni muweza wa yote halafu bado akamuacha shetani awarubuni watu ambao mungu amewatangazia kuwa ana upendo kwa wote dhidi yao. ....ni kitendo ambacho kina onyesha kuwa Mungu huyo ni mdanganyifu dhidi ya watu wake. .. (hivi unaweza kuwa acha wanao nyumba moja na gaidi halafu una waambia kuwa una upendo kwa wote dhidi yao Hai make sense )....
Na kwa sifa ya mungu inayo elezwa kwenye vitabu inamtaja mungu huyo kuwa ni mkamilifu '''ilhali tukimchanganua tuna muona kuwa ni mungu mdanganyifu '--- Basi tunachalea kusema kwamba Mungu huyo hayupo ''kwa sababu sifa zake Zina jipinga zenyewe
Unajichanganya sasa,umesema Mungu hawzi kumzibiti shetani na ndiyo maana nikakuomba unithibitishie hilo kuwa kweli hawezi kumzibiti hivyo madai ya kuwa ana uwezo wote kuwa ni uongo, Na ndipo nikatoa mfano wa Marekani ambayo tunajua ina uwezo wa kijeshi kushambulia NK na Iran ila haifanyi hivyo,ndipo nikakuuliza kutofanya hivyo nikisema Marekani haina nguvu kijeshi nitakuwa sahihi?

Shetani kufanya anayoyafanya haina maana ya kuwa Mungu hana uwezo hivyo kashindwa kumzibiti,kama marekani ambayo ina nguvu za kijeshi kushambulia Iran na Nk ila haifanyi kwa sababu na sio kwamba haina uwezo huo. Hivyo Mungu kumuacha huyo shetani si suala la kukosekana uwezo wote na ujuzi wote bali kuna sababu.
 
Hivi umesoma vyema nilicho kujibu na ukakielewa kweli. ..

Mbona naona kama umepwaya katika kunielewa ilhali nimekupa mfano mpana kabisa ' ...Aise hili taifa lina hitaji huruma ya ulimwengu. ...

Mungu muweza wa yote --ujuzi wa yote --
Upendo kwa wote

Mungu mwenye upendo kwa wote inakuwaje ana wa acha watoto wake wa ishi kwenye nyumba moja na gaidi mwenye mabomu (shetani)..? Kwanini asinge litumia huo uwezo wake wa yote kumuondoa huyo gaidi ili hao anao waeleza kuwa ana upendo nao waweze kuishi kwa Amani

Kama ni mjuzi wa yote ''ina maana alikuwa anajua kuwa akimuumba shetani ataleta ghasia kwa binaadamu ambao amewaeleza kuwa ana wapenda ''(hivi hii inaingia akilini kweli? Unajua kabisa kuwa hii nyumba nayo jenga kesho itaungua moto halafu unaweka wanao wakae humo mpaka mwakani '" Mantiki ya ujuzi wake wa yote -upendo kwa wote iko wapi hapo. ...? Hizo contradiction hauzioni?
Unajichanganya sasa,umesema Mungu hawzi kumzibiti shetani na ndiyo maana nikakuomba unithibitishie hilo kuwa kweli hawezi kumzibiti hivyo madai ya kuwa ana uwezo wote kuwa ni uongo, Na ndipo nikatoa mfano wa Marekani ambayo tunajua ina uwezo wa kijeshi kushambulia NK na Iran ila haifanyi hivyo,ndipo nikakuuliza kutofanya hivyo nikisema Marekani haina nguvu kijeshi nitakuwa sahihi?

Shetani kufanya anayoyafanya haina maana ya kuwa Mungu hana uwezo hivyo kashindwa kumzibiti,kama marekani ambayo ina nguvu za kijeshi kushambulia Iran na Nk ila haifanyi kwa sababu na sio kwamba haina uwezo huo. Hivyo Mungu kumuacha huyo shetani si suala la kukosekana uwezo wote na ujuzi wote bali kuna sababu.
 
Kama kuandikwa si tatizo sasa hapa una defense nini??
Unataka kupinga kua habari hizi si za kweli na hazijaandikwa kwenye kuran?
Naweza kuandika kuwa nyumbani kwangu hapakaliki huku nikiwa na maana ya kwamba nyumbani kuna ugomvi unaofanya nisikae kwa ulivu na sio kwamba hakuna pa kukaa ni kusimama tu. Ndio maana nakwambia kuandika sio tatizo bali kuelewa.

Ni kweli ukiyatafuta hayo maandishi kwenye kuhusu jua kuzama kwenye matope utayakuta ila hayana maana kuwa Qur'an inasema jua huwa linazama kwenye matope na ndiyo maana nikasema nikimuuliza sheikh kuwa jua huwa linazama kwenye matope gani ataniona chizi maana hakuna mafundisho yenye kufundisha kuwa jua huwa linazama kwenye matope kwenye Quran.
 
Hivi umesoma vyema nilicho kujibu na ukakielewa kweli. ..
Mbona naona kama umepwaya katika kunielewa ilhali nimekupa mfano mpana kabisa ' ...Aise hili taifa lina hitaji huruma ya ulimwengu. ...
Mungu muweza wa yote --ujuzi wa yote --
Upendo kwa wote
Mungu mwenye upendo kwa wote inakuwaje ana wa acha watoto wake wa ishi kwenye nyumba moja na gaidi mwenye mabomu (shetani)..? Kwanini asinge litumia huo uwezo wake wa yote kumuondoa huyo gaidi ili hao anao waeleza kuwa ana upendo nao waweze kuishi kwa Amani
Kama ni mjuzi wa yote ''ina maana alikuwa anajua kuwa akimuumba shetani ataleta ghasia kwa binaadamu ambao amewaeleza kuwa ana wapenda ''(hivi hii inaingia akilini kweli? Unajua kabisa kuwa hii nyumba nayo jenga kesho itaungua moto halafu unaweka wanao wakae humo mpaka mwakani '" Mantiki ya ujuzi wake wa yote -upendo kwa wote iko wapi hapo. ...? Hizo contradiction hauzioni?
Tatizo sio langu mkuu bali ni wewe kutoona udhaifu wa hoja yako.

Twende taratibu.

Unataka kupinga hizo sifa zote za Mungu kwa suala la shetani wakati nimeshakwambia kuwa shetani kufanya hayo anayoyafanya si kwa sababu kumekosekana ujuzi wote na uwezo wote, Mungu hajashindwa kumzibiti. Sasa unashindwa kutulia kunielewa kwa sababu umekariri tu hicho unachokieleza.

Ni hivi nimepinga madai ya kuwa Mungu hana uwezo wote na ujuzi kwenye hili suala la shetani,ila wewe bado unarudia palepale kusema sijui Mungu mwenye ujuzi wote na uwezo angetumia ujuzi na uwezo kana kwamba hivyo vitu vimekosekana na ndiyo sababu ya shetani kufanya hayo kwamba imeshindikana kuzibitiwa.
 
Tunasema hayupo kwa sababu sifa zinazo muelezea huyo mungu hazipo zina ji -contradict zenyenyewe

mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ?? Mungu muweza wa yote -wakati tunaona kuwa tunaishi kwenye dunia iliyojaa mapungufu kibao yanayo changia mauti kwa viumbe mbali mbali lazima tuhoji kwanini asinge utumia huo uweza wa yote kuifanya dunia kuwa complete --kama ame shindwa kufanya hivyo huo uwezo wake wa yote unatoka wapi? ?

Mungu muweza wa yote --halafu habari za uungu wake ili ziweze kuwafikia watu wengine --ana wa tegemea binaadamu wa mpigie promo kwa binaadamu wenzie ili ndio apate kufahamika ---kwanini asinge litumia huo uweza wake wa yote ---binaadamu ikawa anazaliwa huku akiwa tayari anamjua mungu huyo. .kama ambavyo anavyo zaliwa akiwa na hisia za kuitambua huzuni na furaha. ....kitendo cha mungu kutegemea watu wa mfanyie promo ya kujulikana kwa watu wengine wakati mungu huyu anajinadi kuwa ni muweza wa yote --Kina dhihirisha kuwa mungu huyo ni dhaifu na hana uweza huo anaojipachika ''kama uwezo huo hana Basi ya maanisha kwamba Mungu huyo hayupo. .kwa sababu sifa zinazo elezea ukuu wake ni sifa ambazo Zina jipinga zenyenyewe. ....

So thibitisha kwamba ----Mungu muweza wa yote
Mwenye upendo kwa wote
Mjuzi wa yote yupo ''' -------ukishindwa kuthibitisha hilo sidhani kama patakuwa na haja ya mimi kuendelea kujibu quote zako
Naomba kukuuliza. Hivi Watanzania 50+ mil wakishindwa kuthibitisha kuwa John Magufuli ndiye Rais wa Tanzania inabadili chochote? Je inaifanya ikulu ya magogoni itoweke na mh. Rais asiwepo?

Nauliza makusudi kwa sababu mnavyoshikilia Bango kana kwamba proof or not zinafanya Mungu awepo/asiwepo.

Pili ukisema kuna contradiction maana yake unakubali kuwa kuna sheria zonazosimamia mantiki, na sheria hazijitungi zenyewe. Sheria zinahitaji kutungwa na kuwa enforced sasa aliyetunga/aliyetoa sheria ya mantiki ni nani?
 
Simply tu waliotunga hizo sheria ni watu. ...

Bado una safari ndefu sana ya kufikia hatua ya uelewa
Tatizo sio langu mkuu bali ni wewe kutoona udhaifu wa hoja yako.

Twende taratibu.

Unataka kupinga hizo sifa zote za Mungu kwa suala la shetani wakati nimeshakwambia kuwa shetani kufanya hayo anayoyafanya si kwa sababu kumekosekana ujuzi wote na uwezo wote, Mungu hajashindwa kumzibiti. Sasa unashindwa kutulia kunielewa kwa sababu umekariri tu hicho unachokieleza.

Ni hivi nimepinga madai ya kuwa Mungu hana uwezo wote na ujuzi kwenye hili suala la shetani,ila wewe bado unarudia palepale kusema sijui Mungu mwenye ujuzi wote na uwezo angetumia ujuzi na uwezo kana kwamba hivyo vitu vimekosekana na ndiyo sababu ya shetani kufanya hayo kwamba imeshindikana kuzibitiwa.
 
Naomba kukuuliza. Hivi Watanzania 50+ mil wakishindwa kuthibitisha kuwa John Magufuli ndiye Rais wa Tanzania inabadili chochote? Je inaifanya ikulu ya magogoni itoweke na mh. Rais asiwepo?

Nauliza makusudi kwa sababu mnavyoshikilia Bango kana kwamba proof or not zinafanya Mungu awepo/asiwepo.

Pili ukisema kuna contradiction maana yake unakubali kuwa kuna sheria zonazosimamia mantiki, na sheria hazijitungi zenyewe. Sheria zinahitaji kutungwa na kuwa enforced sasa aliyetunga/aliyetoa sheria ya mantiki ni nani?
Ukisema kua kuna raisi wa tanzania aitwae magufuli ana vichwa 9 na sikio moja na miguu saba. watanzania 50+ wakishindwa kuthibitisha raisi huyu kua hayupo itabadili chochote kua yupo??
 
Naweza kuandika kuwa nyumbani kwangu hapakaliki huku nikiwa na maana ya kwamba nyumbani kuna ugomvi unaofanya nisikae kwa ulivu na sio kwamba hakuna pa kukaa ni kusimama tu. Ndio maana nakwambia kuandika sio tatizo bali kuelewa.

Ni kweli ukiyatafuta hayo maandishi kwenye kuhusu jua kuzama kwenye matope utayakuta ila hayana maana kuwa Qur'an inasema jua huwa linazama kwenye matope na ndiyo maana nikasema nikimuuliza sheikh kuwa jua huwa linazama kwenye matope gani ataniona chizi maana hakuna mafundisho yenye kufundisha kuwa jua huwa linazama kwenye matope kwenye Quran.
Wewe unaweza kuandika hivyo kunogesha stori hata kwa njia ya utani ukawa sawa

Sasa unataka kusema kua kuran nayo inatumia utani kuandika habari zake??
 
Back
Top Bottom