Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

sioni ni afya kutafuta maadui wa Ndugai kwenye hiyo nafasi. Apewe mtu muwajibikaji, mtenda haki na sheria.
FB_IMG_1641502903224.jpg
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Wewe jamaa hujui kitu nenda wewe kasome usituletee ujuaji wako wa kingese wakati huna lolote, qualifications za spika ziko wazi kwenye katiba
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hii imekaaje wadau?
Tokea wapi au ndio mwendelezo wa bifu alitolewa na timu mwendazake na JYN
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Spika siyo lazima awe mbunge, mbali kuwa wa jimbo au siyo wa jimbo. Sifa ni kuwa mtanzania mwenye sifa zilizoainishwa kwenye katiba. Spika asiye mbunge akipatikana, nadhani atakua mzuri.
 
sukuma gang tena...hebu acheni masikhara 😁
 
Mimi naona Zungu ana kila sifa, ni mzoefu, ni Strong Man, na Mwadilifu na Ubabe, Ni mtoto wa Mjini.
Wakati mwingine Ushamba Unawapa shida Hawa Maspika waliotangulia akina Ndungai, na Ugogo,
 
Back
Top Bottom