Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Jaribi lolote la kumzuia Tulia Ackson Mwansasu kuwa speaker wa Bunge la JMT litazidi kutugawa.
Bora umoja kuliko mgawanyiko.
Sio kila wakati maslahi ya mtu mmoja(Mwenyekiti) yakubaliwe.

Maslahi mapana ya Taifa na utaifa ziangaliwe.
 
Kabisa Steven Masele anatufaa Sana
Hakwepeshi haki na ukweli
 
Jaribi lolote la kumzuia Tulia Ackson Mwansasu kuwa speaker wa Bunge la JMT litazidi kutugawa.
Bora umoja kuliko mgawanyiko.
Sio kila wakati maslahi ya mtu mmoja(Mwenyekiti) yakubaliwe.

Maslahi mapana ya Taifa na utaifa ziangaliwe.
Kuwagawa kina nani? Mwenyekiti amesema hamtaki Tulia? Kutokumchagua Tulia ni kwenda kinyume na maslahi ya mapana kitaifa kivipi?

Tulia ana nafasi sawa na wengine wote wanaofaa.
 
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Mkuu umesoma Katiba ya India.
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?
Kama itatokea basi Ndugai atakuwa ameruka mkojo na kukanyaga kimba maana Masele hatamuacha salama bungeni kwa jinsi alivyompelekesha.
 
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?
Kumtajataja tayari mmemharibia
 
Back
Top Bottom