Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.

Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa Tunduma Machi 15, 2025.
 
Ni mtua aliyekuwepo kwenye awamu zote za serikali tangu uhuru, kuna kitu gani watu wanaweza kukumbuka nacho?
Wasirra tangu awe mkuu wa mkoa, waziri nk nk kuna kitu gani hasa alichofanyia taifa.

Au ndio ile tetesi kwamba kawekwa kwenye hiyo nafasi ili, watu wafanye yao.
 
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.

Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa Tunduma Machi 15, 2025.
View attachment 3272711
Kwamba anatuchukulia bodaboda hatuna hela? 🤔🤔
 
Back
Top Bottom