Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.

Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa Tunduma Machi 15, 2025.
View attachment 3272711
Mitazamo kama hii ina viashiria vya ubaguzi wa kijinsia...in a way...inashusha hadhi ya mwanamke.
 
Sahv napanda bodabodaa za watu wazima, sitaki majaribu mimi
Ubarikiwe sana Madam!
Nimecheka hadi machozi yananitoka maana wadau wamekubananisha kwenye kona wanataka stori.

Sasa ulichofanya nicheke ni jinsi unavyowajibu yaani kama nakuona.
 
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari,"
Ndiyo mnasema ana 80+ huyu! Msishangae akijigeuza bodaboda
 
Ubarikiwe sana Madam!
Nimecheka hadi machozi yananitoka maana wadau wamekubananisha kwenye kona wanataka stori.

Sasa ulichofanya nicheke ni jinsi unavyowajibu yaani kama nakuona.
Yaani hawa watu humu watanitoa roho.
Eti wanataka kuona na kujua ilikuwaje kuwaje, mie kila nikiwaelewesha wanataka stori 😅.
Yaani hapa nimebaki nacheka tu mwenyewe aisee
 
Mimi nahisi Bodaboda ipo hitilafu mahali hii kazi/biashara.
Maana abiria mnabeba,mizigo mnabeba na lawama kibao mnabebeshwa afu mpo kimyaa tuu khaa itisheni kikao kama kina Kataa ndoa.
 
Back
Top Bottom