Stephen Wasira: CCM Hatujachoka, Mabadiliko Hayaletwi na Miaka

Stephen Wasira: CCM Hatujachoka, Mabadiliko Hayaletwi na Miaka

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
DAKIKA 45, ITV

"CCM hatujachoka, tumechoka na nini?"

Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
 
Ccm ni mzigo na hawana jipya la kutukwamua kama taifa hapa tulipofika
 
Aache kujitetea umri wake anapaswa kupumzika na kuwaachia wajukuu zake nao wawe viongozi
Mtu yupo madarakani tokea enz za Nyerere hadi leo yupo tu katika uongozi

Hawezi kuwa na jipya au mawazo mapya, pia na chama chao kimechokwa na wananchi hakina Jipya
 
DAKIKA 45, ITV

"CCM hatujachoka, tumechoka na nini?"

Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
View attachment 3634002
Hoja ya kipumbavu kutolewa na mzee kama yeye. Sijui akili nazo zimechoka.
 
Anajibu swali kwa hoja za kitoto mno. Yeye hapo alipo ni mfano halisi tu kwa nini watu wameichoka CCM
Na hapo amewekwa kama rubber stamp tu. Hana effects zozote positive za kusaidia hicho chama wala taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom