Hoja ya kipumbavu kutolewa na mzee kama yeye. Sijui akili nazo zimechoka.DAKIKA 45, ITV
"CCM hatujachoka, tumechoka na nini?"
Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
View attachment 3634002
Na hapo amewekwa kama rubber stamp tu. Hana effects zozote positive za kusaidia hicho chama wala taifa kwa ujumla.Anajibu swali kwa hoja za kitoto mno. Yeye hapo alipo ni mfano halisi tu kwa nini watu wameichoka CCM
Mwenye mpira ndiye anayekabwa!Yeye kaja na chadema tu haoni vyama vingine