Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi.

Amesema lengo la uhuru ni kutoa maoni na kufuata sheria ambazo zimewekwa kuifanya jamii iishi pamoja bila ya bughudha na kuondoa uwezekano wa mtu mmoja kumuonea mtu mwingine.

Wasira ameeleza hayo leo Juni 12, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM wakiwemo mabalozi wa shina katika Jimbo la Peramiho, wilayani Songea mkoani Ruvuma.
Wasira21.jpg

WhatsApp Image 2025-06-12 at 17.15.25_ace839e5.jpg
"Siku hizi ukisoma mitandao eti matusi ndio demokrasia, eti matusi ndio uhuru ah! Uhuru wa kutukanana sasa hapo tumekosea njia, ungekuwa uhuru wenyewe ni wa kutukanana tungeutafuta wa nini, tulitafuta uhuru ili utusaidie kujenga watu pamoja kuleta amani katika nchi na kusimamia maendeleo yao.

"Uhuru ni kutoa maoni, uhuru ni kufuata sheria maana unaweka sheria ambazo zinaifanya jamii iishi pamoja bila ya bughudha ili kuondoa mtu asimuonee mwingine, lakini hata kutukana ni kosa la jinai ukisoma sheria za Tanzania.

"Ukitukana mtu hapo mjini Peramiho akikupeleka polisi ukaulizwa nini kimetokea ukasema kanitukana polisi hawezi kuacha atasema eleza ilikuaje, alisemaje, mlianzaje, ndio sheria," ameeleza Wasira.

Kwa mujibu wa Wasira, siku hizi dunia imeanza kutupa tafsiri nyingine ya uhuru, kwamba mkitukanana sana kwenye mitandao ya kijamii ndio uhuru.
WhatsApp Image 2025-06-12 at 17.15.23_a60e35b8.jpg

WhatsApp Image 2025-06-12 at 17.15.22_d7769da2.jpg
"Hebu niulize wazee watuambie hivi huku katika mila na utamaduni watoto walikuwa wanatukana baba zao, walizuiwa na nani, walizuiwa na utamaduni sindio, walikuwa wanamtukana mama yao...walikuwa wamejiwekea utaratibu tofauti na demokrasia ya sasa...

"Mtoto hawezi kusema baba naye amezidi tupige kura kupata baba mwingine, hata akiwa mkorofi wanasema ah! baba naye hata akiwa mlevi wanasema baba naye karudi leo kayanywa lakini hawasemi uongozi wake unakoma wa ubaba, hapo ndipo tulipoanzia.

"Sasa unapopanua demokrasia, tena unapokuja kwenye kitu kipya kinachoitwa vyama vingi vizuri sana lakini na vyenyewe vinaweza kuwa tabu sana, lakini hakuna kisicholuwa na tabu jambo kubwa ni kuweka utaratibu ili vyama hivi vifanye kazi kwa kuzingatia katiba na sheria mliyojiwekea," amesisitiza.
 
~NoReformsNoElection ni tusi kwa chura kiziwi wenu?
 
Babu Wasira nani anatukana? Au yule Mbunge wakuita watu Kenge?🤣🤣🤣

No reform No Election
 
Kwahivyo kwa mujibu wa Wasira ccm ni baba wa watanzania, hivi huyu anajua hata maana ya baba au ndio tuamini ile kauli ya kwamba kuna watu wanazeeka na upumbavu wao, hajui hata kwenye maisha halisi baba si tu yule aliyezaa watoto bali ni yule aliyebeba majukumu yake katika malezi ya hao watoto, ndio maana watoto wengi wakikuwa wakubwa huwathamini zaidi baba zao wa kambo waliowalea na si baba zao wazazi waliowatelekeza eti kisa tu walitoka viunoni mwao, kabla hajaiita ccm baba wa watanzania basi ajiulize baada ya miaka zaidi ya sitini ya uhuru wameifanyia nini cha maana Tanzania ikiwa tu mahitaji muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi, ajira, teknolojia na miundombinu bado ni tatizo ambalo hadi leo linalalamikiwa na wananchi huku wanaojiita baba hawajali chochote zaidi ya madaraka tu
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi.

Amesema lengo la uhuru ni kutoa maoni na kufuata sheria ambazo zimewekwa kuifanya jamii iishi pamoja bila ya bughudha na kuondoa uwezekano wa mtu mmoja kumuonea mtu mwingine.

Wasira ameeleza hayo leo Juni 12, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM wakiwemo mabalozi wa shina katika Jimbo la Peramiho, wilayani Songea mkoani Ruvuma.
"Siku hizi ukisoma mitandao eti matusi ndio demokrasia, eti matusi ndio uhuru ah! Uhuru wa kutukanana sasa hapo tumekosea njia, ungekuwa uhuru wenyewe ni wa kutukanana tungeutafuta wa nini, tulitafuta uhuru ili utusaidie kujenga watu pamoja kuleta amani katika nchi na kusimamia maendeleo yao.

"Uhuru ni kutoa maoni, uhuru ni kufuata sheria maana unaweka sheria ambazo zinaifanya jamii iishi pamoja bila ya bughudha ili kuondoa mtu asimuonee mwingine, lakini hata kutukana ni kosa la jinai ukisoma sheria za Tanzania.

"Ukitukana mtu hapo mjini Peramiho akikupeleka polisi ukaulizwa nini kimetokea ukasema kanitukana polisi hawezi kuacha atasema eleza ilikuaje, alisemaje, mlianzaje, ndio sheria," ameeleza Wasira.

Kwa mujibu wa Wasira, siku hizi dunia imeanza kutupa tafsiri nyingine ya uhuru, kwamba mkitukanana sana kwenye mitandao ya kijamii ndio uhuru.
"Hebu niulize wazee watuambie hivi huku katika mila na utamaduni watoto walikuwa wanatukana baba zao, walizuiwa na nani, walizuiwa na utamaduni sindio, walikuwa wanamtukana mama yao...walikuwa wamejiwekea utaratibu tofauti na demokrasia ya sasa...

"Mtoto hawezi kusema baba naye amezidi tupige kura kupata baba mwingine, hata akiwa mkorofi wanasema ah! baba naye hata akiwa mlevi wanasema baba naye karudi leo kayanywa lakini hawasemi uongozi wake unakoma wa ubaba, hapo ndipo tulipoanzia.

"Sasa unapopanua demokrasia, tena unapokuja kwenye kitu kipya kinachoitwa vyama vingi vizuri sana lakini na vyenyewe vinaweza kuwa tabu sana, lakini hakuna kisicholuwa na tabu jambo kubwa ni kuweka utaratibu ili vyama hivi vifanye kazi kwa kuzingatia katiba na sheria mliyojiwekea," amesisitiza.
VC you are very right by 100%💪👊
 
No Reforms No Election

Ni kosa kubwa kuruhusu zee la miaka 90 kukutungia sera wewe kijana wa miaka 23.
 
Attachments

  • 20250612_190153.jpg
    20250612_190153.jpg
    93 KB · Views: 33

Chizi huyo...tume huru ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom