carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
| Chapter Two : | |
| The Dangers of Negotiations | 9 |
| Merits and limitations of negotiations | 9 |
| Negotiated surrender? | 10 |
| Power and justice in negotiations | 11 |
| "Agreeable" dictators | 12 |
| What kind of peace? | 13 |
| Reasons for hope |
Aise sura ya huyu mzee inatisha!TOKA MAKTABA:
Wasira na hoja zake :
View attachment 3704079
View attachment 3704080
KUHUSU EMMANUEL NCHIMBI :
View attachment 3704081
Ni pandikizi lao kama ilivyokuwa kwa MboweSijawahi kuona mshabiki wa yanga anamsifia mchezaji wa simba hapa kuna jambo
Kuna kipindi chama alikuwa Simba, akawa yanga, akawa Simba!Sijawahi kuona mshabiki wa yanga anamsifia mchezaji wa simba hapa kuna jambo
Ukisifiwa na shetani ujue kuna HUJUMA. SHETANI HUWA ANASHAURI KUTENDA DHAMBI.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Kwani Lema ni chadema?CHADEMA hawagombei katika huo uchaguzi huko Dodoma, kwanini anawazungumzia?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.