Stephen Wasira: Lema ni msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.

Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.

“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.

Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.

“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Goodbye
 
Ukisifiwa na shetani Wasira ujue wewe ni uzao wa shetani tu
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24(1)~2.jpg
 
Ukishaona mwanasiasa yeyote wa upinzani anasifiwa na kupongezwa na WANA-CCM....KAA KIMASTER NA HUYO MWANASIASA! JUA HUYO KUSHNEI... NI DALALI! WATANGANYIKA sio wajinga!
 
Kama hili kubwa la maadui.
 
Attachments

  • 6429821-1afc923f9838e6df51a83a4431e73e1.mp4
    200.3 KB
CCM kumsifia Lema nayo inaleta maswali. Anyway muda ni shahidi Muhimu.
 
Nchimbi pia ni msema kweli, alisema katiba mpya ni lazima ipatikane ili tuondokane na udikteta.
20260425_101711.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.

Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.

“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.

Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.

“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Moja ya watu wanaomwingiza dereva porini
 
Hivi CHADEMA inashiriki huo uchaguzi?
Au makamo kaamua bila kuitaja chadema siasa hazinogi? Aitaje tu UPDP tutamsikiliza
 
Kwani Wasira kashijiuliza kwanini Lema anashambuliwa mitandaoni...........
Tumbo linatia fedheha sana Lema kaonesha upande wake wa pili,nadhani hata hii Press kalazimishwa kuifanya coz keshakula vya watu
Unatengeneze heshima kwa gharama kubwa then unakuja kuiuza bei bure
Mtani jitafakari sana
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.

Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.

“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.

Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.

“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
BASI NIMECONCLUDE LEMA AMESHANUNULIWA. WASIRA ANAMSIFIA LEMA??!!. CHADEMA SHITUKENI LEMA ATAWAUZA VIBAYA SANA MKIMUENDEKEZA.
HAWA CCM WAMEMPOTEZA NCHIMBI JUST KWA KUSEMA UKWELI TU KUWA WATANZANIA PIGANIENI KATIBA MPYA. NA WAKAMUITA MUONGO NA MSALITI. ETI LEO KILA MTU CCM ANASEMA LEMA KASEMA UKWELI
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.

Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.

“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.

Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.

“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
well done makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Stephen Wasira :KasugaYeah:
 
Ila bongo 😀😀😀 angesema ukwel kuhusu watawala hapo ingekua kesi au mteko ila wao likiwa zur pande zao wanataka sifa na utukufu 🤣🤣🤣
 
Mzee Wasira afahamu yafuatayo:
Chapter Two :
The Dangers of Negotiations9
Merits and limitations of negotiations9
Negotiated surrender?10
Power and justice in negotiations11
"Agreeable" dictators12
What kind of peace?13
Reasons for hope
👆
CHAPTERS
:
From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation by Gene Sharp

View: https://m.youtube.com/watch?v=padheE4HU_k

03 November 2026
Arusha, Tanzania

"MSIMAMO WETU KUHUSU MARIDHIANO NI ULE ULE TUNADAI KATIBA MPYA NA UHURU, NO REFORMS NO ELECTION " MWENYEKITI WA CHADEMA ARUSHA BW. ELISA MUNGURE ATEMA CHECHE, AFUNGUKA MAZITO AMTAJA LEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=UX9DUskE7TA
Elisa Mungure mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha nchini Tanzania tangu kuanzishwa kwa "Operesheni Katiba Mpya Free Lissu" mkoani Arusha, Mungure amekuwa akitoa hotuba kali akiitaka serikali na vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu, anaachiliwa huru mara moja ili kulinda misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bw. Elisa Mungure ameweka msimamo usiotetereka dhidi ya wanachama wanaokiuka taratibu na kukisaliti chama, akifafanua maamuzi kadhaa magumu yaliyochukuliwa na uongozi wa mkoa dhidi ya wanachama wasio waaminifu ili kulinda maslahi mapana ya CHADEMA mkoani Arusha
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.

Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.

“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.

Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.

“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Ningemuona Mzee Wassira wa maana kama kwanza angepongeza Nchimbi kwa kusema wananchiwadai katiba kwa nguvu zao zote, angesema hayo kweli ningemuona huyu babu wa maana huu wa sasa ni unafiki na ni aibu kwa mtu mzima kuwa mnafiki.
 
Ila bongo 😀😀😀 angesema ukwel kuhusu watawala hapo ingekua kesi au mteko ila wao likiwa zur pande zao wanataka sifa na utukufu 🤣🤣🤣
Watu wanafiki sana, wote akina Nape lakini wanajisahau mbona hawakumpongeza na kumsifia Nchimbi ambaye ni mwenzao na wameufyata hadi leo? inabidi Lema sasa ndio aelewe upumbavu wake.
 
Back
Top Bottom