Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
GoodbyeMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Ukishaona mwanasiasa yeyote wa upinzani anasifiwa na kupongezwa na WANA-CCM....KAA KIMASTER NA HUYO MWANASIASA! JUA HUYO KUSHNEI... NI DALALI! WATANGANYIKA sio wajinga!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Moja ya watu wanaomwingiza dereva poriniMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Hivi CHADEMA inashiriki huo uchaguzi?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
BASI NIMECONCLUDE LEMA AMESHANUNULIWA. WASIRA ANAMSIFIA LEMA??!!. CHADEMA SHITUKENI LEMA ATAWAUZA VIBAYA SANA MKIMUENDEKEZA.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
well done makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Stephen WasiraMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
apongezwe na wanademokrasia pamoja na wataalamu wa sayansi ya siasa na sio vibwengo na vibaka wa siasa nchini amboa wamejaa mihemko tu bila kua na hoja 🐒Apongezwe na nani?
Ila bongo 😀😀😀 angesema ukwel kuhusu watawala hapo ingekua kesi au mteko ila wao likiwa zur pande zao wanataka sifa na utukufu 🤣🤣🤣Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Mzee Wasira afahamu yafuatayo:
👆
Chapter Two : The Dangers of Negotiations 9 Merits and limitations of negotiations 9 Negotiated surrender? 10 Power and justice in negotiations 11 "Agreeable" dictators 12 What kind of peace? 13 Reasons for hope
CHAPTERS :
From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation by Gene Sharp
View: https://m.youtube.com/watch?v=padheE4HU_k
Ningemuona Mzee Wassira wa maana kama kwanza angepongeza Nchimbi kwa kusema wananchiwadai katiba kwa nguvu zao zote, angesema hayo kweli ningemuona huyu babu wa maana huu wa sasa ni unafiki na ni aibu kwa mtu mzima kuwa mnafiki.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemtaja Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema kwamba amekuwa msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni.
Wasira amesema hana ubaya na mtu ambaye ameamua kuwa mkweli kama Lema na hasa alipowataka wenzake kuachana na wanaharakati wa nje.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 3, 2026 wakati akifunga kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Chamwino kwa upande wa CCM katika Kijiji cha Mnase ambako amemuombea kura mgombea wa chama hicho, Dk Netho Ndilito.
“Sina ugomvi na Lema, kwanza alikuwa mbunge mwenzangu, lakini jana aliamua kusema ukweli kwamba wanaharakati walisaidia uchaguzi wa Chadema mwaka jana, wakamtoa Mbowe na kumuingiza Lissu na Heche, sasa wameanza kuingia mambo mengine,” amesema Wasira.
Wasira amesema CCM haina ugomvi na Chadema ndiyo maana hakitaki kusuluhishwa na mtu wa nje na kwamba wenzao wanatoa masharti ya kutaka mazungumzo yamhusishe Lissu ambaye bado yupo kwenye mamlaka nyingine.
“Tunachotaka ni kushindana kwa hoja, siyo kueneza matusi ambayo hayajengi hata kidogo, twendeni kwa hoja ili tuwaambie ukweli wananchi kila chama kina malengo gani,” amesema Wasira.
Chanzo : Mwananchi
Watu wanafiki sana, wote akina Nape lakini wanajisahau mbona hawakumpongeza na kumsifia Nchimbi ambaye ni mwenzao na wameufyata hadi leo? inabidi Lema sasa ndio aelewe upumbavu wake.Ila bongo 😀😀😀 angesema ukwel kuhusu watawala hapo ingekua kesi au mteko ila wao likiwa zur pande zao wanataka sifa na utukufu 🤣🤣🤣