Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wasira ameyasema hayo leo Februari 10, 2026 katika kongamano la kumbukizi ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere, lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam.
Akitoa ufafanuzi huo, amesema sababu ya Mwalimu Nyerere kuandika kitabu hicho ni kutetea wanawake waliokuwa wakiishi familia za Kiafrika zilizoathiriwa na ukosefu wa usawa wa kijinsia.
““Mwalim Nyerere thinking yake ilikuwa ni watu na katika mambo aliyofanya akiwa Makerere ni kuandika kitabu ambacho hakikuchapishwa hadi amefariki kinazungumzia uhuru wa wanawake ambacho kinaitwa Women are not chicken they Egle.
Amebainisha kuwa, falsafa kuu ya uongozi wa Mwalimu Nyerere ilijikita katika misingi ya kulinda uhuru wa nchi, kuimarisha umoja wa taifa, kuleta maendeleo ya wananchi na kuendeleza harakati za ukombozi wa Afrika.