GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakihofia mabadiliko ambayo yangefanywa na serikali ya awamu ya sita.

Wasira ameyaeleza hayo leo Alhamisi Agosti 28, 2025 Kawe Jijini Dar Es Salaam, wakati akihutubia maelfu ya wananchi wanaohudhuria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Kitaifa ya Chama Cha Mapinduzi, akiutaja pia ugonjwa wa Uviko-19, kudorora kwa uchumi pamoja na kifo cha Hayati Magufuli kama majanga makuu aliyofanikiwa kupambana nayo Rais Samia Suluhu Hassan wakati alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2021.

"Kila mtu alikuwa na hofu ya aina yake kwasababu ya matatizo ya mfumo dume wengine walifikiri upo uhusiano kati ya Urais na uanaume, wengine walikuwa na matatizo tofauti, wengine walikuwa rafiki wa marehemu na ni haki yao lakini walikuwa na hofu kwamba mabadiliko yale yatawaacha wapi, walitofautisha matakwa yao na matakwa ya watanzania na matatizo tunayoyasikia huko nje yanayokana na hofu hiyo." Amesema Ndg. Wasira.

Katika hatua nyingine Wasira amempongeza Rais Samia kwa utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta na ile aliyoianzisha yeye binafsi ikiwemo ukuzaji wa uchumi ambapo ameeleza kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani uchumi ulikuwa umeporomoka kutoka asilimia 6.9 hadi asilimia 4, huku pia akifanikiwa kuimarisha umoja, amani na mshikamano kwa Watanzania.

niliwahi kusema humu...

watu wa samia hawakutegemea Tundu lissu atakua mwiba kwao...

akili zao zinajua magufuli na watu wake ndio wapinzani wao...

lissu alikuja kama surprise, na hawakujua wamfanye nini...
 
Bwrge hili, linazid tanua ufa badala ya kuziba
 
niliwahi kusema humu...

watu wa samia hawakutegemea Tundu lissu atakua mwiba kwao...

akili zao zinajua magufuli na watu wake ndio wapinzani wao...

lissu alikuja kama surprise, na hawakujua wamfanye nini...
Hilo hata Samia mwenyewe alisemaga kwamba aliambiwa adui yake mkubwa ni wana ccm wenzake
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakihofia mabadiliko ambayo yangefanywa na serikali ya awamu ya sita.

Wasira ameyaeleza hayo leo Alhamisi Agosti 28, 2025 Kawe Jijini Dar Es Salaam, wakati akihutubia maelfu ya wananchi wanaohudhuria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Kitaifa ya Chama Cha Mapinduzi, akiutaja pia ugonjwa wa Uviko-19, kudorora kwa uchumi pamoja na kifo cha Hayati Magufuli kama majanga makuu aliyofanikiwa kupambana nayo Rais Samia Suluhu Hassan wakati alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2021.

"Kila mtu alikuwa na hofu ya aina yake kwasababu ya matatizo ya mfumo dume wengine walifikiri upo uhusiano kati ya Urais na uanaume, wengine walikuwa na matatizo tofauti, wengine walikuwa rafiki wa marehemu na ni haki yao lakini walikuwa na hofu kwamba mabadiliko yale yatawaacha wapi, walitofautisha matakwa yao na matakwa ya watanzania na matatizo tunayoyasikia huko nje yanayokana na hofu hiyo." Amesema Ndg. Wasira.

Katika hatua nyingine Wasira amempongeza Rais Samia kwa utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta na ile aliyoianzisha yeye binafsi ikiwemo ukuzaji wa uchumi ambapo ameeleza kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani uchumi ulikuwa umeporomoka kutoka asilimia 6.9 hadi asilimia 4, huku pia akifanikiwa kuimarisha umoja, amani na mshikamano kwa Watanzania.

Mr. Baboon! Hizo ndizo sera????
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Back
Top Bottom