GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili lizee ni miongoni mwa watu waliozuia upatikanaji wa katiba mpya kwa kuchakachua rasimu ya Warioba;kwa mujibu wa Polepole!!
 
Huyu Mze akamatwe na yeye, hafai kabisa kuonekana hadharani kama Kikwete.
 
Kwa hiyo saiv mpinzani wa samia ni Magufuli sio chadema wala act wazalendo?
 
Marafiki zake Magu?
Kwa hiyo hata yeye alikuwa na uadui nae pamoja na walioshika madaraka au sio?
Wasira alitegemea jiwe angempa ubunge wa kuteuliwa kisha uwaziri,matokeo yake jiwe akamlia buyu,so jamaa kabaki na chuki.
 
Huyu Mzee ana siasa za kitoto, sasa nchi tukiendesha Kwa siasa za kitoto, tutakuwa kweli.

Akitumia mfano huo ana maanisha na marafiki WA sasa nao wanaogopa, utawala WA mwingine, ndio maana wamechnga 100bn ili kujilinda, na kuwagaiaya wajinga kiasi cha hizo 10bn, iliwakifika huko juu wajirudishie hiyo 100 bn. Na faida juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…