PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo.

Amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Kuchunguza Vurugu za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kujua kiini cha tatizo hilo.

Wasira lieleza hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mjini Kigoma akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.

"Mimi sijasema jina la mtu, lakini wenye kujua hayo mambo wanajijua, waache jinai ichunguzwe kama walihusika waende kwenye vyombo vya haki na sio wengi, wanaobaki watu wema tukae tufanye nao maridhiano," alisema.

Alimpongeza Rais Samia kwa kuunda tume ya kusaidia kujua chanzo cha vurugu hizo, pia alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na tume hiyo kufanya uchunguzi huo.

"Rais (Dk. Samia) tunamshukuru na kumpongeza sana, kwa kuunda tume ya kutusaidia kujua chanzo. Tunampongeza na tunaipongeza tume ambayo imesema katika uchunguzi wake imegundua kuna watu si wengi lakini ndio walioanza mpango ule walifadhili.

"Sasa wanasema (tume) wao hawakuwa polisi wa kuwakamata, lakini wanasema tuchunguze wale walioonekana ili tusiwe tunafuga nyoka ndani ya nyumba," alisema.

Alisema hakuna anayeshabikia matukio yenye kuumiza yaliyosababisha vifo na kwamba anayefanya hivyo hayuko sawa kiakili.

"Wanasema watu wamekufa, ni nani anafurahia kufa watu labda uwe na wewe akili yako imeharibika kama unasherehekea kufa watu. Wote tunapinga mauaji, lakini nani amesababisha, halafu wale walioko wengine kama tunawahisihisi ndio tena wanataka kutufundisha namna ya kufanya...vurugu muanzishe nyie na namna ya kumaliza mgogoro mtupe nyie, hapana," alisema.

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Hayo maridhiano mtafanya labda na mawe, haiwezekani watu wanapigwa risasi majumbani nyie mnasema ni vitu vyenye ncha kali.

Haiwezekani watu wanapotea nyie mnasema wamepotea kwa sababu za mapenzi, madeni na ushirikina.

Kisasi ndio maridhiano ya kweli sio hayo maigizo ya Samuya na vidampa wake.
20260423_093506.jpg
 
Wananchi wamewakataa mnadai mnataka kufanya maridhiano, maridhiano na nani? Kumbukeni CHADEMA au ACT sio Wananchi, hao ni wawakilishi tu wa wananchi.

Wazee kama hawa ndio wanaozidi kufanya chama kichukiwe hata na wale wajinga wachache waliobakia wanakipenda.
​
 
Ndugu zangu Watanzania,

Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo.

Amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Kuchunguza Vurugu za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kujua kiini cha tatizo hilo.

Wasira lieleza hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mjini Kigoma akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.

"Mimi sijasema jina la mtu, lakini wenye kujua hayo mambo wanajijua, waache jinai ichunguzwe kama walihusika waende kwenye vyombo vya haki na sio wengi, wanaobaki watu wema tukae tufanye nao maridhiano," alisema.

Alimpongeza Rais Samia kwa kuunda tume ya kusaidia kujua chanzo cha vurugu hizo, pia alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na tume hiyo kufanya uchunguzi huo.

"Rais (Dk. Samia) tunamshukuru na kumpongeza sana, kwa kuunda tume ya kutusaidia kujua chanzo. Tunampongeza na tunaipongeza tume ambayo imesema katika uchunguzi wake imegundua kuna watu si wengi lakini ndio walioanza mpango ule walifadhili.

"Sasa wanasema (tume) wao hawakuwa polisi wa kuwakamata, lakini wanasema tuchunguze wale walioonekana ili tusiwe tunafuga nyoka ndani ya nyumba," alisema.

Alisema hakuna anayeshabikia matukio yenye kuumiza yaliyosababisha vifo na kwamba anayefanya hivyo hayuko sawa kiakili.

"Wanasema watu wamekufa, ni nani anafurahia kufa watu labda uwe na wewe akili yako imeharibika kama unasherehekea kufa watu. Wote tunapinga mauaji, lakini nani amesababisha, halafu wale walioko wengine kama tunawahisihisi ndio tena wanataka kutufundisha namna ya kufanya...vurugu muanzishe nyie na namna ya kumaliza mgogoro mtupe nyie, hapana," alisema.

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Screenshot_20260516-003803~2.png
 
Wahalifu wanapojigeuza watoa hukumu. Halafu nani anataka maridhiano na wao? Yaani wanaongea kama vile kuna anayetaka kufanya maridhiano na wauaji.
 
Hii takataka ndiyo inampa Samia ushauri wa kipumbavu
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24(1)~2.jpg
 
Wale 1700 mlio wakamakata na kuwaachia kuwa mmewasamehe au wengine tena
 
😁😁😁 Wana list yao mfukoni ya watu wa kuwakamata.

ila hii wanawasha moto , maana sijui kama wamefanya hesabu zao vizuri
Naona mmeanza kutetemeka na kuhofu baada ya kujua uhalifu wenu mlioufanya wa kuhamasisha vurugu
 
Wananchi wamewakataa mnadai mnataka kufanya maridhiano, maridhiano na nani? Kumbukeni CHADEMA au ACT sio Wananchi, hao ni wawakilishi tu wa wananchi.

Wazee kama hawa ndio wanaozidi kufanya chama kichukiwe hata na wale wajinga wachache waliobakia wanakipenda.
​
CCM haiwezi kuchukiwa hata siku moja maana kila mtanzania anaona kazi nzuri inayofanywa na CCM ya kuwaletea maendeleo wananchi
 
Back
Top Bottom