PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naunga mkono hoja!!!!

Kama wakiachwa watambe mitaani wataendelea na uratibu wa Machafuko.

wamechochea watoto wawatu wenyewe wamekimbia kujificha!!!

Kabla ya KATIBA mpya Kabla ya chochote kwanza wakamatwe wausika wakuu,

kuna mmoja anaishi kama digidigi kimya kimya kumbe taasisi wanajua mpaka anakunya saa ngapi !!!!

waalifu walishajua baada tume kukabidhi ripoti kifuatacho ni wao!!

Nyinyi na ma ID yenu mengimengi ayawezi kuzuiya haki kutendeka!!!

washawishi wa fujo lazima wafikishwe Mahakamani Sheria ichukue mkondo wake
iwe fundisho siku za mbele

wamesababisha damu imemwagika na kwakweli kutuma izo picha za watoto wetu ndio mnafanya na kuipa Serikali ulazima wa kuwapigania watoto wetu!!!

lazima haki kutoka kwa waliowashawishi kufanya fujo zisipopiganiwa damu zao Mahakamani!!!

Washawishi wataendelea kuchangia Vifo vya watoto wengine wengi zaidi wkt uho uho Watoto wao wamewaficha kwa WAZUNGU.!!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo.

Amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Kuchunguza Vurugu za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kujua kiini cha tatizo hilo.

Wasira lieleza hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mjini Kigoma akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.

"Mimi sijasema jina la mtu, lakini wenye kujua hayo mambo wanajijua, waache jinai ichunguzwe kama walihusika waende kwenye vyombo vya haki na sio wengi, wanaobaki watu wema tukae tufanye nao maridhiano," alisema.

Alimpongeza Rais Samia kwa kuunda tume ya kusaidia kujua chanzo cha vurugu hizo, pia alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na tume hiyo kufanya uchunguzi huo.

"Rais (Dk. Samia) tunamshukuru na kumpongeza sana, kwa kuunda tume ya kutusaidia kujua chanzo. Tunampongeza na tunaipongeza tume ambayo imesema katika uchunguzi wake imegundua kuna watu si wengi lakini ndio walioanza mpango ule walifadhili.

"Sasa wanasema (tume) wao hawakuwa polisi wa kuwakamata, lakini wanasema tuchunguze wale walioonekana ili tusiwe tunafuga nyoka ndani ya nyumba," alisema.

Alisema hakuna anayeshabikia matukio yenye kuumiza yaliyosababisha vifo na kwamba anayefanya hivyo hayuko sawa kiakili.

"Wanasema watu wamekufa, ni nani anafurahia kufa watu labda uwe na wewe akili yako imeharibika kama unasherehekea kufa watu. Wote tunapinga mauaji, lakini nani amesababisha, halafu wale walioko wengine kama tunawahisihisi ndio tena wanataka kutufundisha namna ya kufanya...vurugu muanzishe nyie na namna ya kumaliza mgogoro mtupe nyie, hapana," alisema.

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili

Sasa si walikamatwa vijana wengi tu leo imekuwaje. Mchawi ni boss wake
 
WAnasubiri nini sasa kuwakamata hao watu, kama nia yao ndio hio? Ngoja tuone hawa wanaodhani kufungua pandora box ni one sided story....wanasahau surprises zake
 
Kaa kwa kutulia kila mmoja aliyehusika kuhamasisha vurugu atakamatwa na kutiwa nguvuni
 
It will never happen..sio rahisi hivyo. italeta shida nyingine kubwa. Mbona inatumika nguvu nyingi sana kuendeleza mlolongo wa makosa? Kwa faida ya nani?
Taifa linataka uponyaji..sio ubabaishaji
 
Endeleeni na umavimavi wenu muone telepathic revolution.Vitisho vya kisaikolojia vilishapitwa na wakati.
 
Narudia tena, Samia ni muhalifu namba moja, kama anadhani ndio anapaswa kuchunguza anaowaita wakosaji basi anajidanganya mwenyewe na nyie chawa wake.
Wewe ndiye mhalifu mkubwa sana unayepaswa kukamatwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo.

Amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Kuchunguza Vurugu za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kujua kiini cha tatizo hilo.

Wasira lieleza hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mjini Kigoma akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.

"Mimi sijasema jina la mtu, lakini wenye kujua hayo mambo wanajijua, waache jinai ichunguzwe kama walihusika waende kwenye vyombo vya haki na sio wengi, wanaobaki watu wema tukae tufanye nao maridhiano," alisema.

Alimpongeza Rais Samia kwa kuunda tume ya kusaidia kujua chanzo cha vurugu hizo, pia alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na tume hiyo kufanya uchunguzi huo.

"Rais (Dk. Samia) tunamshukuru na kumpongeza sana, kwa kuunda tume ya kutusaidia kujua chanzo. Tunampongeza na tunaipongeza tume ambayo imesema katika uchunguzi wake imegundua kuna watu si wengi lakini ndio walioanza mpango ule walifadhili.

"Sasa wanasema (tume) wao hawakuwa polisi wa kuwakamata, lakini wanasema tuchunguze wale walioonekana ili tusiwe tunafuga nyoka ndani ya nyumba," alisema.

Alisema hakuna anayeshabikia matukio yenye kuumiza yaliyosababisha vifo na kwamba anayefanya hivyo hayuko sawa kiakili.

"Wanasema watu wamekufa, ni nani anafurahia kufa watu labda uwe na wewe akili yako imeharibika kama unasherehekea kufa watu. Wote tunapinga mauaji, lakini nani amesababisha, halafu wale walioko wengine kama tunawahisihisi ndio tena wanataka kutufundisha namna ya kufanya...vurugu muanzishe nyie na namna ya kumaliza mgogoro mtupe nyie, hapana," alisema.

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili

Waliofanya vurugu waliuawa na wengine walikamatwa na kufunguliwa keza za Uhaini.

Ambao bado hawajakamatwa ni wale walioua au waliotoa maelekezo ya kuua.
 
Lini Heche alikamatwa ? Huyu si ndio kinara wa kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini
 
Chama kinachoongozwa na takataka kama hii
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24.jpg
hicho ni shithole party
 
Back
Top Bottom