PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naunga mkono hoja!!!!

Kama wakiachwa watambe mitaani wataendelea na uratibu wa Machafuko.

wamechochea watoto wawatu wenyewe wamekimbia kujificha!!!

Kabla ya KATIBA mpya Kabla ya chochote kwanza wakamatwe wausika wakuu,

kuna mmoja anaishi kama digidigi kimya kimya kumbe taasisi wanajua mpaka anakunya saa ngapi !!!!

waalifu walishajua baada tume kukabidhi ripoti kifuatacho ni wao!!

Nyinyi na ma ID yenu mengimengi ayawezi kuzuiya haki kutendeka!!!

washawishi wa fujo lazima wafikishwe Mahakamani Sheria ichukue mkondo wake
iwe fundisho siku za mbele

wamesababisha damu imemwagika na kwakweli kutuma izo picha za watoto wetu ndio mnafanya na kuipa Serikali ulazima wa kuwapigania watoto wetu!!!

lazima haki kutoka kwa waliowashawishi kufanya fujo zisipopiganiwa damu zao Mahakamani!!!

Washawishi wataendelea kuchangia Vifo vya watoto wengine wengi zaidi wkt uho uho Watoto wao wamewaficha kwa WAZUNGU.!!!
 

Sasa si walikamatwa vijana wengi tu leo imekuwaje. Mchawi ni boss wake
 
WAnasubiri nini sasa kuwakamata hao watu, kama nia yao ndio hio? Ngoja tuone hawa wanaodhani kufungua pandora box ni one sided story....wanasahau surprises zake
 
WAnasubiri nini sasa kuwakamata hao watu, kama nia yao ndio hio? Ngoja tuone hawa wanaodhani kufungua pandora box ni one sided story....wanasahau surprises zake
Kaa kwa kutulia kila mmoja aliyehusika kuhamasisha vurugu atakamatwa na kutiwa nguvuni
 
Kaa kwa kutulia kila mmoja aliyehusika kuhamasisha vurugu atakamatwa na kutiwa nguvuni

It will never happen..sio rahisi hivyo. italeta shida nyingine kubwa. Mbona inatumika nguvu nyingi sana kuendeleza mlolongo wa makosa? Kwa faida ya nani?
Taifa linataka uponyaji..sio ubabaishaji
 
Endeleeni na umavimavi wenu muone telepathic revolution.Vitisho vya kisaikolojia vilishapitwa na wakati.
 
Narudia tena, Samia ni muhalifu namba moja, kama anadhani ndio anapaswa kuchunguza anaowaita wakosaji basi anajidanganya mwenyewe na nyie chawa wake.
Wewe ndiye mhalifu mkubwa sana unayepaswa kukamatwa
 

Waliofanya vurugu waliuawa na wengine walikamatwa na kufunguliwa keza za Uhaini.

Ambao bado hawajakamatwa ni wale walioua au waliotoa maelekezo ya kuua.
 
Waliofanya vurugu waliuawa na wengine walikamatwa na kufunguliwa keza za Uhaini.

Ambao bado hawajakamatwa ni wale walioua au waliotoa maelekezo ya kuua.
Lini Heche alikamatwa ? Huyu si ndio kinara wa kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini
 
Chama kinachoongozwa na takataka kama hii hicho ni shithole party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…