PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vurugu ziliua watu wangapi?
Risasi zilipigwa kwa amri ya nani?
Na waliuliwa watu wangapi?
ccm wasidhani WaTanganyika bado ni wajinga!
 
Lini Heche alikamatwa ? Huyu si ndio kinara wa kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini

Si mliwakamata akina Niffer na kuwapa kedi za ugaidi vijana zaidi ya 1000.

Heche mlimkamata kabla ya uchaguzi mkamuachia wenyewe. Akili ya CHAWA haiwezi kukumbuka mambo ya mwaka jana!
 
Mlikamata vijana zaidi ya 1500 nchi nzima mkawashitaki kwa uhaini kutokana na hizo vurugu,mkawaachia na wengine akina ONTARIO mpaka leo wapo nyuma ya nondo.

Mnataka muwapate akina nani tena ilhali mliwaachia wenyewe!!
 
Tuanze na watu wako waliokuwa wakiwaambia polisiccm hadharani kuwa wapinzani wakipotea polisiccm wasiwatafute.
 
Si mliwakamata akina Niffer na kuwapa kedi za ugaidi vijana zaidi ya 1000.

Heche mlimkamata kabla ya uchaguzi mkamuachia wenyewe. Akili ya CHAWA haiwezi kukumbuka mambo ya mwaka jana!
Heche anakwenda kukamatwa tena na kuishi maisha yake hukohuko gerezani
 
Mnachekesha sana nyie mmechoka kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…