mtahengerwa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 384
- 173
Sijui kama hao ndo wanaweza kumpa nafasi ya kugombea nafasi hiyo hizo ni mbwembwe tu kuchombeza mambo, ila ki ukweli Tyson bado sana
Sifa aliyonayo Tyson ni uadilifu tu.....kuongoza nchi hawezi...uwaziri unamtosha...
JP Magufuli for Presidency!
Kumbe mnapenda watu wezi! Magufuli ni bonge la fisadi
Sifa aliyonayo Tyson ni uadilifu tu.....kuongoza nchi hawezi...uwaziri unamtosha...
JP Magufuli for Presidency!
Ni bora kukosa hela lakini ukawa msafi kuliko kuishi kwa kashfa tuhuma kila kukicha, Watanzania wenye mtazamo chanya watamheshimu Wasira kwa kuishi kwa uadilifu na uaminifu. Hawa ndio watu wanaoweza kukemea Rushwa bila aibu kwasababu hawashiriki Matendo haramu.Kambi yake haina hela,ndo maana yuko kimya,wangekua na mahela kama wenzao na wao wangekua na mbwembwe tu.