Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Usicho kijua sawa na usiku wa giza.in short Tanzania ya sasa hamna kiongozi ktk chama chochote hili ndo kosa kubwa alilolifanya Mwl.nyerere kutoandaa viongozi.waliopo na wajao wote ni manyan'gau.
 
wewe sio UKAWA ni mpambwe wake tu umekuja kupima upepo
 
Hata wakati ule 2005 kwa JK ilikuwa hivi hivi. Hivi huyu jamaa ni impartial kweli?! Tunaomba unayodai yaambatane na mifano. Amewezaje kutatua issue za umasikini wakati bongo umasikini umekithiri?!
 
Ana jipya .kachoka akili kufikia kusinzia bungeni.ni miongoni mwa washauri wachovu kufikia kuwapiga zengwe wachumi wenye Uwezo kama sasanzikwangu wa kasulu na chami wa moshi vi jijini.
 
Wewe ni ccm per se, akili yako ni ndogo sana. Tunang'oa mfumo na hatukombowi taifa kutoka kwa mtu. Sioni point yako hapa,Wasira ana ofisi yake hapo Ikulu na wezi wako hapohapo, hajasaidia jambo lolote. Mfumo na culture ya ccm ni hovyo. Organizational culture ya ccm ni ya kulindana wao na sio kulinda maslahi ya taifa. Wanathamini na kuamini kuwa kuwajibishana ni kuyumbisha na kudhoofisha chama. Mimi naamini, ccm ingekuwa na culture ya kuwajibishana kwenye scandle chama kingeendelea kuwa na nguvu na public support. Kwa kuwa ni chama cha kulindana dhidi ya maovu, wananchi wanahasira, hata mi nina hasira, na wengi wana hasira, ccm must quit soon this year...
 
Ana jipya .kachoka akili kufikia kusinzia bungeni.ni miongoni mwa washauri wachovu kufikia kuwapiga zengwe wachumi wenye Uwezo kama sasanzikwangu wa kasulu na chami wa moshi vi jijini.

Huenda ww ndo umechoka zaidi kuliko yeye angalia mema aliyoyafanya KWA Taifa na ww umesaidia nn
 
Usicho kijua sawa na usiku wa giza.in short Tanzania ya sasa hamna kiongozi ktk chama chochote hili ndo kosa kubwa alilolifanya Mwl.nyerere kutoandaa viongozi.waliopo na wajao wote ni manyan'gau.

Your very Right!
 
Kazi kwelikweli baada ya escrow umehama ccm sasa upo ukawa
 
Mwaka 2015 namsupport WASIRA
 
[QhUOTE=Christopher kimonge;11617754]Ana jipya .kachoka akili kufikia kusinzia bungeni.ni miongoni mwa washauri wachovu kufikia kuwapiga zengwe wachumi wenye Uwezo kama sasanzikwangu wa kasulu na chami wa moshi vi jijini.[/QUOTE]
Acha kuota mchana kweupe CCM haitoki leo madarakani
 
Hata wakati ule 2005 kwa JK ilikuwa hivi hivi. Hivi huyu jamaa ni impartial kweli?! Tunaomba unayodai yaambatane na mifano. Amewezaje kutatua issue za umasikini wakati bongo umasikini umekithiri?!

Maendeleo ni gradual process nina imani na WASIRA kuliko wagombea wengine
 
Mtoa mada akifafanua majukumu ya wizara yake huyu babu yangu,ntakuja na Maswali, kama atayajibu atakua na sababu ya kumpgia debe babu yangu huyu!,!
 
Tuwekeeni hotuba za Tyson akiwa NCCR- mageuzi, tuone chuki alizokuw nazo na ujinga alionao mpaka kumpiga mwandishi. Kifupi "Jamaa na changudoa wa siasa" kuazia CCM, CDM NCCR and CCM
 
Hafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…