Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Mtoa mada akifafanua majukumu ya wizara yake huyu babu yangu,ntakuja na Maswali, kama atayajibu atakua na sababu ya kumpgia debe babu yangu huyu!,!
Anasimamia TUME YA MIPANGO.

Anasimamia TASAF

Anasimamia MKURABITA

Anasimamia MAHUSIANO YA DINI

Karibu kwa maoni na maswali yako.
 
Huyu ni kibabu kizee sana. Mwaka huu anatimiza miaka 70!!!!!

Dr. Slaa ana miaka mingapi?
Pinda ana miaka mingapi?
Lipumba ana miaka mingapi?
Lowassa ana miaka mingapi?

umemuona Wassira peke yake! hao wote ni agemate wake, mbona unachambua kwa makengeza?
 
Kazi kwelikweli baada ya escrow umehama ccm sasa upo ukawa


Huyo sokwe alikimbia nini nchini wakati wa utawala wa mwl,na baada mwl kuaga dunia akarejea tz??????

Mpaka dakika hii,hakuna ccem hata mmoja amesimama hadharani kupinga UFISADI au kuahidi kuuondoa akipewa madaraka......jee, wasira anaweza kutukamatia jakaya na wenzie?? Majibu tafadhali.
 
yaani kutokua na kashfa tu ndo kigezo cha m2 kuwa raisi!##!!urais wa bongo ni mwepesi kweli!,adi vichaa wanauota mchana kweupe
 
Hata mimi ninaposikia jina la WASSIRA linatajwa kama mgombea urais nafarijika sana.

1.Nafarijika katika uadilifu wake katika utumishi wake.

2.Nafarijika katika uzalendo wake katika taifa hili.

3.Nafarijika namna anavyogushwa na matatizo na umaskini wa watanzania.

4.Nafarijika na namna alivyojipanga kuhakikisha kuwa rasilimali za tanzania kwa ajili ya watanzania kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Nani ni Mwenyekiti wa Saidia wasira Ashinde?wana JF tujuzeni maana wanyeviti wengine wanajulikana,Mfano M/kiti wa kamati ya membe ni Mengi na m/kiti wa kamati ya January makamba ni Rostam Azizi.nk
 
hakika wasira akipitishwa na chama ccm itarudisha heshima na taifa litasonga huyo ndiye presider tunayemtaka
 
kama kigezo cha urais ni kutokuwa na kashfa basi anafaa, lakini kiutendaji bado hajanishawishi kuwa anaweza kuipeleka nchi kule tunakotaka.

Hata kiutendaji yupo poa sana huyu jamaa,sema anasifa ya kufanya mambo bila kutafuta SIFA BINAFSI ingekuwa NDIO Akina Fulani ungesikia misifa kibao.KIUKWELI ANAFAA NA SHULE YAKE NI KUBWA SANA DEGREE TATU ZA UCHUMI.
 
Hili la kuhama chama kisa tamaa na ulafi wa madaraka, ni kashfa tosha kwake!!
 
Je mwajua kuwa Wassira amekuwa anakaa kwenye nyumba ya Bodi ya Sukari tangu mwaka 2006 bila kulipa pango?

Wassira alipewa nyumba hiyo wakati akiwa Waziri wa Kilimo, lakini kwa sasa cheo chake kinahusiana nini na hiyo nyumba?

Wakati huo huo Wassira ana nyumba nyingine ya serikali!

Yaani ukiona CCM wanakazania kumnadi Wassira kuwa ni msafi pamoja na haya yoooooote, basi ujue kweli chama kimezidiwa na ufisadi. Yaani huyu ndie afadhali!!!!

CCM haifai, ufisadi umeota mizizi ndani yake na hakuna msafiiiiiii.

Source bofya hapa Home
 

Pole kijana kwa kutumika vibaya na sokwe wako
 
Je mwajua kuwa Wassira amekuwa anakaa kwenye nyumba ya Bodi ya Sukari tangu mwaka 2006 bila kulipa pango?

Wassira alipewa nyumba hiyo wakati akiwa Waziri wa Kilimo, lakini kwa sasa cheo chake kinahusiana nini na hiyo nyumba?

Wakati huo huo Wassira ana nyumba nyingine ya serikali!

Yaani ukiona CCM wanakazania kumnadi Wassira kuwa ni msafi pamoja na haya yoooooote, basi ujue kweli chama kimezidiwa na ufisadi. Yaani huyu ndie afadhali!!!!

CCM haifai, ufisadi umeota mizizi ndani yake na hakuna msafiiiiiii.

Source bofya hapa Home
 

Umelipwa sh? au ni buku 7 tu?
 

Kashfa ipi ki afya au ki utawala?
 
Ati Wassira hana kashfa?
Soma magazeti ya leo, kahodhi nyumba ya Sukari na halipo kodi ipasavyo toka 2010.
Hapo uadilifu wapi na wapi?
 

Aliiba tairi
 

Alidanganya umma wa watanzania kuwa cdm ingekufa kabla ya mwaka 2013.
 
Kuna hiyo kitu ya kubadili hati za nymba ya bodi ya sukari PAC wameagiza airudishe cjui kama ina qualify kuwa kashfa au al.
 
Huyu hajawahi kuwa kada wa NCCR-Mageuzi na kisha kufungiwa kufanya siasa? Au ni mwingine pengine ninawachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…