Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ujinga ww. wassira ni jembeeeeeeeeeeeee ni muadilifu anafaa sana tumpe nchi awanyoshe mafisadiiiiiiiiii
Mimi ni mkazi wa Bunda jimbo la Wasira,hii ni Jimbo lililozungukuwa na rasilimali nyingi kama vile Ziwa victoria,Mbuga ya Serengeti,mto Rubana lakini ni jimbo au wilaya 4 bora kwa umasikini uliokithiri ktk Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Hospitali ya BDDH iliyokuwa inawafaa wananchi wa Bunda almost imekufa hakuna huduma vyoo vimejaa funza toka chooni hadi wodini! Huyu jamaa akiwa Rais wa nchi ni kama mtu Kiwete aliyepooza hana maendeleo yoyote,kwanza bado ana mtazamo wa miaka hiyo ya 1960,dunia iko mbali sana! huyu jamaa amejaa matusi na maneno ya kwenye Khanga matamshi yake ya kihuni,kuna hotuba Mwl Nyerere anachekesha akisema sifa zoote anazo ila tatizo ni kabila la Mukala! Na mimi nasema haya sifa zoote za kuwa raisi wa anazo lakini ILE SURA! dah dunia nzima itakuwa kivutio atatutangaza vizuri. Japo haya maelezo sijayapangilia vizuri kwasababu ya haraka I am doing something here!
Asiye na KASHFA ?? wewe Umezaliwa 1999? kwasababu haujui ya kuwa alikikimbia CCM kwa MATUSI kwa kukosa nafasi kugombea huo UBUNGE na kuhamia NCCR MAGEUZI na kushinda kama Mpinzani wa CCM;
Ina Maana KATIBA ya CCM inataka Wabunge wawe na 3 TERM LIMITS baada ya hapo wanaachia NGAZI kupisha DAMU SAFI MPYA na kuondoa ULIMBUKENI na KUONDOA UMAFIA wa KURUDISHA WANASIASA walewale ndani ya HICHO CHOMBO nakukifanya kama ni FAMILY ORIENTED CULT COMMITEE.. Kwahiyo angehama na kukimbilia chama kingine???
Sababu Soma hotuba zake za CHUKi DHIDI ya CCM... Inaonyesha kweli Wanaosoma JAMII FORUMS wasema Ukweli WOOOTE Wamekimbia au wamekwenda in the DL...
ANOTHER PAIN in Our True Democracy
Tapataps mtabeba hadi makapi ualiyochoka ccm hamna mtu
tanzania na watanzania kwa ujumla twamuhitaji mh. wassira kiboko wa mafisadi tz.
![]()
Rekodi yake ni kubwa sana na sio ya kutilia Mashaka kabisa, Tangu akiwa Wizara ya Kilimo na maeneo mengine aliyowahi kuhudumu haijapata tokea kashfa au harufu yeyote ya rushwa au ubadhilifu. Hayo ndiyo Maisha yake mpaka leo.Una record yeyote juu ya kukemea ufisadi au ndio porojo.
Rekodi yake ni kubwa sana na sio ya kutilia Mashaka kabisa, Tangu akiwa Wizara ya Kilimo na maeneo mengine aliyowahi kuhudumu haijapata tokea kashfa au harufu yeyote ya rushwa au ubadhilifu. Hayo ndiyo Maisha yake mpaka leo.
ndiyo kiongozi pekee anayeweza kukemea RUSHWA hadharani bila aibu tofauti na Viongozi wengine.
Naona Maswali yako yameanza kuwa na Matege, huwezi kuchukia RUSHWA na Ufisadi halafu the same time ukakosa vision.Kutokula rushwa sio performance record, tunataka kafanya nini! Ana vision gani.
Suala la rushwa sio tatizo kwani ccm wote niwala rushwa.
Naona Maswali yako yameanza kuwa na Matege, huwezi kuchukia RUSHWA na Ufisadi halafu the same time ukakosa vision.
ningekuwa wewe ningejiridhisha tu kuwa Kwakuwa huyu hapendi RUSHWA nia yake nikuifanya Nchi isiyokuwa na Matendo ya Rushwa, kuimarisha vita dhidi ya Rushwa ndogo na Rushwa kubwa, kumbuka huwezi kuipinga Rushwa kama wewe ni mshiriki mtiifu wa jambo hilo.
Wassira anaamini tunaweza kuwa na utawala usiokuwa na Rushwa na Ufisadi, Kodi haikusanywi ipasavyo kwaajili hiyo, miradi ya maendeleo inakosa fedha, na mingine haidumu kwasababu hiyohiyo.
kusimamia Rasmali kuwasaidia makundi yaliyochini hasa Wakulima, kukuza na kuimarisha sekta ya Viwanda vya kati,miundombinu na kuimarisha Elimu ya Sayansi.
Hayo siyo maneno yangu, pitia website yake Tovuti rasmi ya Stephen M. Wasira utayaona maono yake.