Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Wasira ana usafi gani mbona anapenda Milungula na alishajengewa mjumba hapo Dar na Mhindi mmoja hivi.
 
Wasira ana usafi gani mbona anapenda Milungula na alishajengewa mjumba hapo Dar na Mhindi mmoja hivi.

Hiyo nyumba iko eneo gani? Na alijengewa na nani?
Ipige picha na huyo Mhindi umtaje ili tuwalipue.

Kama hivyo vyote huna basi hebu mwache Wassira awe mfano bora kwa wanasiasa wanaotumia nafasi zao vibaya.
 
Ana umri gani huyu mzee maana amekuwa mtawala tangu sijazaliwa hadi sasa nina zaidi ya miaka 40. Ndo maana taifa hili haliendelei akili zile zile miaka nenda rudi

Umri wake ni unakaribiana na wa Padre Mstaafu Dkt. Slaa. Yeye ana miaka 69 walati Dkt. Slaa anayo 70. Nani mzee kati ya hawa?
 
Umri wake ni unakaribiana na wa Padre Mstaafu Dkt. Slaa. Yeye ana miaka 69 walati Dkt. Slaa anayo 70. Nani mzee kati ya hawa?

Mbona wasira amechoka hvyo itakuwa umri wake wa makaratasi hauendani na uhalisia wa umri wake.
 
UNAJUA KILICHOMFANYA Akimbilie upinzani? Je mazingira yale yakijirudia bado atabaki ccm?
 
Ana,kashfa ya uzibifu na kumpora mzee ndege mke na kujimilikisha ndege insurance..uliza uambiwe sio unasema tu hana kashfa
 
MH.Wasira ni mwanasiasa makongwe sana kulinganisha na wanasiasa wengine waliotia niza kupata Urais.
ZAIDI YA MAKOSA YA KIBINADAMU,SIJAONA EPA,wala ESCROW juu ya huyu MH,,,,PAMOJA na UKONGWE kazini. ImageUploadedByJamiiForums1419407251.366807.jpg
 
JAMANI TUACHE UNAFIKI, WATANZANIA TUMEBAKIWA NA MH. WASSIRA KAMA KIONGOZI BORA NA MSAFI SANA MWENYE HADHI YA KIUTUKUFU NA KIUADILIFU KATIKA KULITUMIKIA TAIFA LETU HILI LA TANZANIA.
MH. WASSIRA NI MZALENDO, MSOMI, MWENYEKUJUA SIASA ZA NDANI NA NJE YA NCHI, MCHAPA KAZI, MWENYE AFYA BORA NA ANAYEGUSWA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTAALAMU NA MTATUZI WA KERO ZA WATANZANIA IKIWEMO AJIRA, KUONDOA UMASIKINI, KUBORESHA MIKATABA ISIYOWANUFAISHA WATANZANIA N.K.
KAMA SISI UKAWA TUNGEMBAINI WASSIRA KAMA NI FISADI TUNGEMMALIZA MAANA ALITUSHIKA KOO SANA KWENYE KATIBA INAYOPENDEKAEZWA.

VIVA MH. STEPHENE MASATO WASSIRA THE PRESIDENT WE WANT IN 2015.

Wasira_pic_2012.jpg
 
Wassira kama nimjuavyo mimi hazuiliki katika kundi la Viongozi waadilifu wa Nchi hii, Wassira is Skendo Free.
Watanzania wengi wanalalamikia uadilifu wa viongozi wao, baadhi ya wachache waliopo Sasa ni huyu Mhe.
"Katika Israel hawezi kukosekana Mwenye Haki"
 
Hebu tokeni na upuuzi wenu hapa "watanzania my foot" huyo jamaa hata aje Yesu kumpigia kampeni hatashinda mwambieni atulie ale pension yake.
 
Umesahau issue anayoiratibu ya TASAF III ambayo inalenga kuwawezesha wananchi wote maskini kiuchumi. Hivi sasa mikoa mingi inaendelea kunufaika,

Ukifanya ziara nae ndipo utagundua jinsi alivyo smart
 
Ana roho mbaya kama sura yake.... umeweka picha aliyo jipaka poda? Weka ile original. .... kwanza hata ubunge ananyang'anywa na Bulaya.... bora matonya kuliko huyu jamaa lenye sura mbaya, katili, na .....pu....
 
Back
Top Bottom