Stephen Wassira: Kazi ya Makamu Mwenyekiti CCM haina mshahara ni kujitolea. Hao Vijana wanaweza kufanya kazi zisizo na mishahara?

Wasira tokea uhuru ,Nyerere upo tu,mwinyi upo tu,mkapa upo tu,kikwete upo tu, magufuli alikukataa,Sasa Samia kakuweka hapo, hebu Babu wasira nenda kanisani kumshukuru mungu utubu dhambi zako.usiendelee kuongeza dhambi bure
 
Hili babu bwana Baada ya kula mshahara na posho za Bunge kwa miaka yake yote haya ndo maneno yake, hao vijana anataka waishije ?
 
Huyu babu muhongo sana, anaweza kwambia sasa hivi ni usiku kumbe ni mchana
 
Kwa posho hizo, ningeshauri chama kimpe kila mtanzania kushika nafasi hiyo mwezi mmoja mmoja Ili tupate mitaji. Maana nizaidi ya 24.5 million Kwa mwezi
 
Huyu hana tofauti na Francis Atwoli , kafanya kazi chini ya Daniel Arap Moi , Emilio Mwai Kibaki, Uhuru Kenyatta, na sasa William Ruto.

Akiulizwa sababu kwanini hastaafu anasema yeye nafasi yake ni ya kuchaguliwa, sasa je hiyo taasisi ni kweli haina watu wapya kila siku wamchague mtu yule yule?
 
Ukishakuwa pale pesa inakuja yenyewe kutoka kwa matajiri, wafanyabiashara ambao wanataka connection.
Yani hata kuwa rafiki tu na rais ni mchongo unaolipa kinoma unaweza hata miliki apartment palr dubai
 

Anapiga posho ya kufa mtu. Asitudanganye hapa.
 
Awadanganye hao hao wavaa mashati ya kijani.
Kwani huko chadema kuna mshahara wa mwenyekiti (Tundu Lissu) au wa makamu wake (Heche)? Mbowe alishawaambia haku kitu kama hicho. Ni kazi za kujitolea. Wenye misharahara ni secretariat chini ya katibu mkuu ambao ni a full time job
 
.
 

Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 1
Tunamjua hiyo...mkwa propaganda zake..hatusumbui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…