Stephen Wassira: Kazi ya Makamu Mwenyekiti CCM haina mshahara ni kujitolea. Hao Vijana wanaweza kufanya kazi zisizo na mishahara?

Wasira tokea uhuru ,Nyerere upo tu,mwinyi upo tu,mkapa upo tu,kikwete upo tu, magufuli alikukataa,Sasa Samia kakuweka hapo, hebu Babu wasira nenda kanisani kumshukuru mungu utubu dhambi zako.usiendelee kuongeza dhambi bure
 
Wakuu,

Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?

Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.

========================================

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.

"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"

"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.

Hili babu bwana Baada ya kula mshahara na posho za Bunge kwa miaka yake yote haya ndo maneno yake, hao vijana anataka waishije ?
 
Wakuu,

Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?

Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.

========================================

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.

"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"

"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.

Huyu babu muhongo sana, anaweza kwambia sasa hivi ni usiku kumbe ni mchana
 
Aache uongo wqke sawa halipwii kitu kinachoiitwa mshahara kila mwezi
Ila kiukwelo analipwa posho nyingi sana nyingine analipwa kila mwezi kama tu mshahaha.
1.Analipwa posho ya madaraka zaidi ya mil 10 kila mwezi.
2.Anallipwa posho ya nyumba zaidi ya million 4 kila mwezi.
3.Analipwa posho ya simu,meme,majii
Zaidi ya million 6 kila mwezi
4. Anallipwa posho ya viburudisho (entertainment allowance) zaidi ya million 4 kila mwezi.
5.kila akisafiri anahudumiwa na chama na piano analipwa posho ya zaidi yaa 5laki kwa siku.
Huyu Jamaa hizo anazoita posho anazalipwa ni zaidi ya mshahara na marupuru ya katibu wa ccm mkoa ambaye ni mwajiriwa
Kwa posho hizo, ningeshauri chama kimpe kila mtanzania kushika nafasi hiyo mwezi mmoja mmoja Ili tupate mitaji. Maana nizaidi ya 24.5 million Kwa mwezi
 
Huyu hana tofauti na Francis Atwoli , kafanya kazi chini ya Daniel Arap Moi , Emilio Mwai Kibaki, Uhuru Kenyatta, na sasa William Ruto.

Akiulizwa sababu kwanini hastaafu anasema yeye nafasi yake ni ya kuchaguliwa, sasa je hiyo taasisi ni kweli haina watu wapya kila siku wamchague mtu yule yule?
images - 2025-02-24T175408.891.jpeg
 
Wakuu,

Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?

Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.

========================================

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.

"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"

"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.

Ukishakuwa pale pesa inakuja yenyewe kutoka kwa matajiri, wafanyabiashara ambao wanataka connection.
Yani hata kuwa rafiki tu na rais ni mchongo unaolipa kinoma unaweza hata miliki apartment palr dubai
 
Wakuu,

Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?

Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.

========================================

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.

"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"

"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.

Anapiga posho ya kufa mtu. Asitudanganye hapa.
 
Awadanganye hao hao wavaa mashati ya kijani.
Kwani huko chadema kuna mshahara wa mwenyekiti (Tundu Lissu) au wa makamu wake (Heche)? Mbowe alishawaambia haku kitu kama hicho. Ni kazi za kujitolea. Wenye misharahara ni secretariat chini ya katibu mkuu ambao ni a full time job
 
.
 
Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom