Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah mzee wangu Wasira leo hii hata mwaka bado ushaanza kutucheka tuliokua tunakutilia huruma ukipambania Ubunge wako..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili babu bwana Baada ya kula mshahara na posho za Bunge kwa miaka yake yote haya ndo maneno yake, hao vijana anataka waishije ?Wakuu,
Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?
Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.
========================================
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.
"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"
"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.
Huyu babu muhongo sana, anaweza kwambia sasa hivi ni usiku kumbe ni mchanaWakuu,

Kwa posho hizo, ningeshauri chama kimpe kila mtanzania kushika nafasi hiyo mwezi mmoja mmoja Ili tupate mitaji. Maana nizaidi ya 24.5 million Kwa mweziAache uongo wqke sawa halipwii kitu kinachoiitwa mshahara kila mwezi
Ila kiukwelo analipwa posho nyingi sana nyingine analipwa kila mwezi kama tu mshahaha.
1.Analipwa posho ya madaraka zaidi ya mil 10 kila mwezi.
2.Anallipwa posho ya nyumba zaidi ya million 4 kila mwezi.
3.Analipwa posho ya simu,meme,majii
Zaidi ya million 6 kila mwezi
4. Anallipwa posho ya viburudisho (entertainment allowance) zaidi ya million 4 kila mwezi.
5.kila akisafiri anahudumiwa na chama na piano analipwa posho ya zaidi yaa 5laki kwa siku.
Huyu Jamaa hizo anazoita posho anazalipwa ni zaidi ya mshahara na marupuru ya katibu wa ccm mkoa ambaye ni mwajiriwa
Ukishakuwa pale pesa inakuja yenyewe kutoka kwa matajiri, wafanyabiashara ambao wanataka connection.Wakuu,
Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?
Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.
========================================
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.
"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"
"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.
Wakuu,

Kwani huko chadema kuna mshahara wa mwenyekiti (Tundu Lissu) au wa makamu wake (Heche)? Mbowe alishawaambia haku kitu kama hicho. Ni kazi za kujitolea. Wenye misharahara ni secretariat chini ya katibu mkuu ambao ni a full time jobAwadanganye hao hao wavaa mashati ya kijani.