sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Moja kati ya wasanii wachache wa Hiphop nchi hii naoweza kukaa na kuwasikiliza ni Stereo aka Singasinga aka Chundabadi.
Katoa album kali sana inaitwa Experience, naweza sema ni kati ya album kali sana za Hiphop ya kizazi hiki.
Nachoshangaa ukienda YouTube hakuna wimbo uliofikisha views 100 na nimejaribu kutazama jamaa ana subscribers hata 50 awafiki.
Yani watu wa Hiphop hapo ndio wananifanya nawashangaa hawapo serious kabisa na biashara yao.
Alafu yeye ana encourage watu wanunue album kwa mfumo wa kuzituma WhatsApp. Sijui shule alienda kupoteza muda au vp
Huyu jamaa album yake ni kali sana laiti kama angewekeza vya kutosha ingemlipa sana ila no promotion no strategies za kueleweka.
Unafanya colabo kali na Rayvanny unashindwa kutoa hata kichupa cha mkopo album iende town.
Kweli Hiphop is dead.