Picha inaanza niko border na run, bongo jua kali and im get older nadhani.../
Niko high kama nimevuta mboga ya man, so get ready nimeshaweka order ya gun.../
Sijulikani basata, nafanya yangu masaka, niko chimbo machaka, mwili mzima machata.../
washa taa, giza likitanda huja mashaka.../
Siwajui na sina haja kipi mnataka?
Ukonga ndo nyumbani si kigogo, skonga niliumiza ndonga si kidogo.../
Usiache shule mziki haulipi dogo, kua hapa kuna hitaji miaka wiki ndogo.../
Tena nakuja kama basha kama mende, sio kila mamba ni mamba wengine kenge.../
Watoto wapo kwenye mic wape peremende, acha iende mbele kwa mbele kanyaga twende.../