Soma tenzi zenye vina, mi ndo shina toka enzi,Hii yo ni classic material, kuna one the incredible, nikki mbishi, b boy stereo.....hiyo ni classic material
Picha inaanza niko border na run, bongo jua kali and im get older nadhani.../Soma tenzi zenye vina, mi ndo shina toka enzi,
nikifa ... sitemi nina mimina, wengi wamepimwa, mimi sitopimwa kama wengi. ...
Hii ni CLassics we ni Moko wa Miujiza'.
Huu uandishi wa kiwango cha Maglev. Vijana wanajua sana na wanaudai mzikiPicha inaanza niko border na run, bongo jua kali and im get older nadhani.../
Niko high kama nimevuta mboga ya man, so get ready nimeshaweka order ya gun.../
Sijulikani basata, nafanya yangu masaka, niko chimbo machaka, mwili mzima machata.../
washa taa, giza likitanda huja mashaka.../
Siwajui na sina haja kipi mnataka?
Ukonga ndo nyumbani si kigogo, skonga niliumiza ndonga si kidogo.../
Usiache shule mziki haulipi dogo, kua hapa kuna hitaji miaka wiki ndogo.../
Tena nakuja kama basha kama mende, sio kila mamba ni mamba wengine kenge.../
Watoto wapo kwenye mic wape peremende, acha iende mbele kwa mbele kanyaga twende.../
Stereo hana juhudi na Muziki. Kati ya wasanii ambao walikuwa wanakuja mpaka gheto ni huyu na Nash MC.Wana hiphop wao ilimradi liende sijui hawapo kibiashara
Hip hop haipo kwa ajili yako ule ni utamaduni ule ucomplex ndio ladha kwetu unataka waimbe vipi kama bongo fleva? Tupo tunaoelewa na tunahitaji hio ladha so cool down leave it nenda kwa miduara hukoLabda sijui..Ila nadhani..HipHop ikiimbwa nnje ya kuyagusa maisha halisi ya Mtz huwa naonaga ni Kama takataka...then HipHop inatakiwa sio mamistari magumu ambayo hata hayaelewiki..
Sasa ..unakuta mtu anaimba HipHop za mapenzi..mistari migumu kinoma Yani...
Hivi Roma na Stamina wanaimbaga stail Gani wale...Kuna yule dogo aliyeimbaga Who I am , Mimi ni nani...jamaa anaimba real life...msikilizaji unapata meseji send unaona huu wimbo unanigusa...Kuna ile ya Stamina vs Pro JAy ya baba..it's real life ...
Ama angalia nyimbo za PRo Jay ni HipHop za mapenzi lakini zinaeleweka..
So wasanii wa HipHop wabadilike kuimba majimbo magumu magumu yasiyoeleweka plus yasiyo beba uhalisia wa real life ..wajiandae kufeli tu
Nunueni kazi zao. Siyo sifa kibao mwanangu unachana, uko vizuri kaza. UsilegezeHip hop haipo kwa ajili yako ule ni utamaduni ule ucomplex ndio ladha kwetu unataka waimbe vipi kama bongo fleva? Tupo tunaoelewa na tunahitaji hio ladha so cool down leave it nenda kwa miduara huko
Kutoka Tamaduni, speaking of Album Bora.... kwangu bado ni SOGA za MZAWA.
Hapo kwa QBoy tu [emoji1][emoji1][emoji1]Stereo hana juhudi na Muziki. Kati ya wasanii ambao walikuwa wanakuja mpaka gheto ni huyu na Nash MC.
Nash yeye akikukuta Ghetto unasikiliza ngoma zako ana fura, anataka akupangie hadi muziki wa kusikiliza!
2016 alikuwa anakuja mara kibao kwa anko ili ampeleke Wasafi kwa bodaboda. Enzi hizo wasafi bado wako Sinza.
Kilichofanikiwa ni kutoa ngoma na mavoko, baada hapo akapata kazi bank na muziki ndio akapotezea mazima.
Mara ya mwisho kabla ya hii album nadhani alionekana kwenye majukwaa ya wasafi festival, enzi hizo wamechukua tamaduni wote huku wakijifanya "hii ya kwetu sote"
Wakati huo ukienda pale wasafi unamkuta Qboy kabla hajafukuzwa na Sallam, anavimbaaaa. Akiongea kitu wenzake wakimkatalia utasikia, siku hizi maamuzi yangu hayaheshimiwi hapa ofisini.
Duh..basi itakuwa kwa ajili yake mwenyeweNikki mbishi anakwambia usipo ielewa jua haikua kwa ajili yako
Sawa..bakini kujiimbia wenyewe..Kama stamina na roma na pro Jay.wanimba HipHop kwangu wao ndio wanajua hao wengine waendelee.kuchoma mishkaki ya panya tu...kufoka bila kujua unaowafokea wanaelewa ama.lah..ni uzwazwa...Hip hop haipo kwa ajili yako ule ni utamaduni ule ucomplex ndio ladha kwetu unataka waimbe vipi kama bongo fleva? Tupo tunaoelewa na tunahitaji hio ladha so cool down leave it nenda kwa miduara huko
Nitajie albums nyingine kali za underdogs, maana wanakuwaga wamoto kweli kweli, mfano Soga za mzawa na Sauti ya Jogoo ni kati ya album bora kabisa za Hiphop bongo.Slim Sal na album yake ya Blind ndo album bora ya Hip-hop kwa mwaka huu
Nikki mbishi anakwambia usipo ielewa jua haikua kwa ajili yako
unaongelea kununua kazi watu tumehudhuria mpaka kilingeni. Halafu nikwambie tu, unadhan levo za kina Nikki Mbishi, One Ni za kumwambia eti 'mwanangu unachana uko vizuri kaza' meeeen haupo siriaz!!!!!Nunueni kazi zao. Siyo sifa kibao mwanangu unachana, uko vizuri kaza. Usilegeze
Mnaishia kula kaya tu. Kazi zao wala show zao hamhudhurii.
Kilingeni huko sijui matamasha ya Kinasa???unaongelea kununua kazi watu tumehudhuria mpaka kilingeni. Halafu nikwambie tu, unadhan levo za kina Nikki Mbishi, One Ni za kumwambia eti 'mwanangu unachana uko vizuri kaza' meeeen haupo siriaz!!!!!
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app