Stereo Singasinga album yako kali sana, inabidi ujiongeze

2016 alikuwa anakuja mara kibao kwa anko ili ampeleke Wasafi kwa bodaboda. Enzi hizo wasafi bado wako Sinza.
Wee jamaa kumbe unaishi kwa anko na anko ni dereva bodaboda!! Naelewa sasa kwa nini upo so bitter na kila kitu kwenye life πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee jamaa kumbe unaishi kwa anko na anko ni dereva bodaboda!! Naelewa sasa kwa nini upo so bitter na kila kitu kwenye life πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani nilikwambia naishi Masaki?

Mimi naishi maisha yangu timilifu na yenye uhuru kamili.

Halafu huyo Anko usifikiri ni kama kina Uncle Shamte. Ni bro tu kama kina One the Incredible. Na yeye pia alikuwa tamaduni.

Maisha ni chaguo. Unaweza kuchagua uhuru wa kufikiri na kuishi mwenyewe.

Au kuwa chawa, na msukule wa mtu.

Halafu usidharau boda boda, hao wasanii unaowaona wakubwa wengi hata boda boda achilia mbali hata nauli yake tu hawana.

Wasanii kama kina Chinbees wanadaiwa na mabodaboda mpaka wanakimbia madeni.
 
Soma tenzi zenye vina, mi ndo shina toka enzi,
nikifa ... sitemi nina mimina, wengi wamepimwa, mimi sitopimwa kama wengi. ...
Hii ni CLassics we ni Moko wa Miujiza'.
Uyu one
 
Jina la hii ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…