Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
967
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao.

Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa!

Fear women of this kind. Kumbafu.

Screenshot_20230826-211349.jpg
 
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa handle wanawake wao.
Amesafiri na mkewe sehemu kibao mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada.
Yamemkuta Leo, Amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa!!

Fear women of this kind.
Kumbafu.View attachment 2729672
Harvey ana bahati mbaya na wanawake. Aache kuoa tu. Kama sikosei huyu ni mke wake wa 4. Baada ya kuvunja ndoa 3.

Na amezaa nao wote steve ana.watoto.kibao wa mama tofauti tofauti
 
Wanaume sie ni Waongo ila wanawake ni Wanafiki kabisa.
Mwanamke akiwa na Upwiru ananyea kambi afu akija kustuka kazingua anakaza komwe anavunja ndoa kwajili ya Ny*g*
Hapo hizo Pesa anazitaka anapelekewa Bodyguard.

Falsafa yangu ni moja Demu akikubali kumwacha Bwana wake kwajili yangu nami ninamwacha immediately huyo ni Bomu.
 
Huo ni Ukweli 100% Yamenikuta,ni hatari SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom