Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Habari mpya zinasema huo wote ni uzushi wa wasiomtakia mema Steve Harvey.

Wameogopa alipoanza kufuga ndevu wakajuwa hyu sas anankuwa Muislam, wanaanza kumchafuwa kwa ujinga ujinga tu.


Sasa hivi kuna vita kubwa huko Hollywood, makampuni yameacha ushindani kwenye kazi zao sasa wanafanya "character assassination" ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom