Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Eeh yaani pamoja na kupewa tahadhari zote bado ukajifumbukiza kwa ndoa😲😲😲
Sasa warembo wote hawa waliokuwepo duniani wee ukaona bora utulia na mmoja? Una moyo
😅😅 mke ni rafiki yangu wa kuduma mkuu. Hao wanawake dunia nzima hutowala na kumaliza kila siku matoto mazuri tu kama yamejiumba.. ila inafika kipindi nikaona acha niwe ma mshikaji wangu mmoja wa kudumu mwana wa kweli..
 
Mkuu umemeza mgodi wà geita nini , umetema madini kinyama mkali[emoji110]️[emoji110]️
 
Kama kufuga ndevu ni uislamu mimi nitakua ni sheikh mkuu bakwata[emoji1787][emoji28]
 
Hawa viumbe ni kuwa piga Mbupu tu.
Ukimlisha Dona na Dagaa na maji ya chumvi imeisha hiyo.
Sasa wewe peleka chuo mara lipa mahari uje kulia siku moja.
Kwann wawaza kuwa nyie ndo mna uwezo wa kulisha tu,ilhal saivi kuna wenzenu marioo kibao,wasio na Cha ziada zaidi ya hizo mbupu?
🤣🤣🤣Wanafugwa na kutumikishwa kingono na mabossy lady mjini
Kalaghabaho
Isitoshe ky..uma ndo kazi yake,kama ulikuwa hujui,babu weeh,huwezi ikomoa hata siku moja,manake ndo kazi yake
Au mwenzetu elimu hiyo huna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…