Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

🤣🤣🤣 Wanawake wa kiislam ni watumwa wa mwanaume,hawana haki yoyote,wale wanawachukulia ni watumwa wao wa ngono
Mwanamke katika Uislam ana haki tena kapendelewa kuliko mwanamme.

Uliza unataka kuelewa haki ipi tukupe darsa. Ngoja nianze:

Unafahamu kuwa mwanamke wa Kiislam haolewi, bali anaowana na mumewe?

Haya tueleze wa Kikristo anaowana au anaolewa na mumewe? Ukipata jibu useme ni nani hapo mtumwa?
 
Hivi mpaka Leo Kuna watu na akili timamu kbsa wanapewa semina kuhusu mahusiano? Yani mi siwezi nikasoma kitabu kuhusu mahusiano au kuhudhuria semina ...manake kama una akili timamu bila kushurutishwa majukumu ya ndoa au jinsi ya kubehave inajulikana kbsa
Mwamba ni motivational speaker. Hawa watu ukiwasikiliza unaweza hisi ni perfectionists wa kila wanachokiongea ila dah. They do struggle mbaya kabisa.
 
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao.

Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa!

Fear women of this kind. Kumbafu.

Niliwahi sema kamwe usije ukajifanya wewe ndio mtaalam wakuishi na mke au mume amini amini nakwambia jogoo hatowika ujasema Bora ningejuwa ndoa yenye bilingi bilingi itadumu mpaka ushangae. Huyo ndio Sir God.
 
😄 😄 😄 😄 😄
Steve alizaa na wake wawili wa mwanzo. Watoto watatu wa huyu mwanamke wa sasa aliempiga tukio, sio wa kwake. Aliwa-adopt baada ya kumuoa huyu changu. Alifinyiwa kwa ndani mara moja tu, akajipa majukumu ya ubaba kwa wototo wasio wa kwake.

Lakini pia, ndoa yake ya pili ilivunjika baada ya mkewe kumnasa akichepuka na huyu mwanamke anaemwagana nae sasa hivi. Mkewe (wa pili) alipodai talaka, haka kachangudoa kakamuwekea Steve mwanasheria wa kumsaidia ili mkewe asipate kiasi kikubwa. Sasa hivi mambo yamegeuka!

Inaonekana Steve amekua simp kitambo sana kwa huyu mwanamke. Maana ilifikia hatua mwanamke anasema live kwenye media, kwamba Steve hawezi shughuli za chumbani. Ila jamaa bado likawa linakaza fuvu kujifanya mahaba niue. Sasa mpishi wake wa kiume kamega tunda kimasikhara kabisa, na mwanamke anataka talaka iambatane na mgao wa nusu ya utajiri wake.

I still remember watching that damn movie, "think like a man, act like a woman". Vile masela walikua wanalalamika, "Steve is a traitor". Alijifanya kuwajua sana wanawake, he didn't see it coming. He could have used his own advice!
Mzee baba limemkuta jambo
 
Wee bwana mwanamke ambae mwanaume mwenzio kamshindwa usijidai wewe kidume shupavu..matokeo yake ndio haya sasa.
Janamke mitoto kibao wee unaluoa la nini....ni kuligegedua tuu
 
Alichezea za USO alipokua anaanza hali ilikua ngumu maeneo ya sinza kula ya tabu ukiangalia una mke na mtoto mmoja, mke akiona isiwe KESI akaingia mitini Ila Sina hakika km alimuacha ni yeye ndio aliachwa na mkewe
Mwaisa amepitia magumu Sana,kiukweli safari ya mafanikio ni sawa na kuchoma dhahabu ili kupata kidani cha kuvaa
 
Alianza masanja, kaja Dr Mwaka, sasa hivi Steve sijui nani atafuatia
Dr Mwaka? Yule jamaa wa foreplan kliniki yenye matangazo ya dawa za mifumo ya uzazi yanayoonyeshwa karibu chaneli zote za kibofonya?
Mbona kuna time alitutambia yuko na wake watatu na wote analala nao kitanda kimoja? Mwaka kama Mwaka au ni Mwaka Mwakalebela???
 
Hatari mzeya hizi ndioge ukipigwa aisee hutatamani kufuga hawa viumbe...mie nilipigwa moja matata ya " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni"
Acha tuu wanawake wa maneno makali sana jamani alafu hawana shukran na very very selfish
Ulianzaje kubishana na mwanamke boss?
 
Back
Top Bottom