Steve alizaa na wake wawili wa mwanzo. Watoto watatu wa huyu mwanamke wa sasa aliempiga tukio, sio wa kwake. Aliwa-adopt baada ya kumuoa huyu changu. Alifinyiwa kwa ndani mara moja tu, akajipa majukumu ya ubaba kwa wototo wasio wa kwake.
Lakini pia, ndoa yake ya pili ilivunjika baada ya mkewe kumnasa akichepuka na huyu mwanamke anaemwagana nae sasa hivi. Mkewe (wa pili) alipodai talaka, haka kachangudoa kakamuwekea Steve mwanasheria wa kumsaidia ili mkewe asipate kiasi kikubwa. Sasa hivi mambo yamegeuka!
Inaonekana Steve amekua simp kitambo sana kwa huyu mwanamke. Maana ilifikia hatua mwanamke anasema live kwenye media, kwamba Steve hawezi shughuli za chumbani. Ila jamaa bado likawa linakaza fuvu kujifanya mahaba niue. Sasa mpishi wake wa kiume kamega tunda kimasikhara kabisa, na mwanamke anataka talaka iambatane na mgao wa nusu ya utajiri wake.
I still remember watching that damn movie, "think like a man, act like a woman". Vile masela walikua wanalalamika, "Steve is a traitor". Alijifanya kuwajua sana wanawake, he didn't see it coming. He could have used his own advice!