Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

NAYAKUMBUKA YA ASKOFU KIJANA, NA KATIBU NA MKEWE 😄 😄.
NDINGA ZA MAANA,
SHOW OFF ZA KUTOSHA,
TRIP ZA KILA MARA,

MALIPO YAKE KATIBU KAPIGA SINGLE NA KUTOA COPY.

ENDELEENI KUOA!
 
Maana anawatoaga sana akili waume zetu waonekane hawajui kutuhandle wakati wapo busy wanatafuta pesa na alitushauri kabisaa tuwaache wakisema Wana mchongo wanausikilizia eti huyo tujue ni kanjanja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzenu nyie mkitapatapa na mapenzi yeye ndio anapiga hela kwa kisingizio cha kuwafanyia counseling eti
 
Wabongo wazee wa kuokoteza habari pasipo kuchunguza kwanza...

“I’m fine. Marjorie fine,” Harvey assured the crowd at Invest Fest. “I don’t know what y’all are doing, but find something else to do, ‘cause we fine. Lord, have mercy.

“Sometimes ... you wanna respond, but I ain’t got no time for rumor and gossip,” he added. “God been good to me. I’m still shining.”
 
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao.

Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa!

Fear women of this kind. Kumbafu.

Bora tu nilizaliwa Afrika manake ningezaliwa huko ningefanya mauaji ya halaiki, wanawake ktk hizi nchi za Uropa na Amerika wanawafanya wanaume kama misukule. Unaangaika na maokoto ukishaokota okota anajipendekeza unaoa, ukishaoa anaenda anagongwa na mtu mwingine alafu ukisema tu SU, anaomba talaka na kisha kinachofuata ni mgawo wa maokoto. SMG ingemhusu yeye na ukoo wake wote, pamoja na mbwa, dada wa nyumba, na shamba boy. Shubaamit.
 
Back
Top Bottom