Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

We jamaa kila cku unatafuta watangazaji
Kwan unataka kufungua Radio...?
na mpaka sasa umewapata wangapi..?
Nimeshapata 6, kituo kiko tayari kwenye majaribio na mikataba walishasign, kingine kipi unataka kufahamu..?
 
Watoto wa siku hizi watamjulia wapi, nakumbuka kuanza kumsikia Kiss FM alikuwa na ngoma zilizotulia, akahamia EA Radio, ila the Cruise ilibamba zaidi kipindi cha Amo Blaze.
Katoa wimbo then akatokomea kwao Uganda
 
nimejaribu kumzungumzia Steve ambae kipindi yuko EA Radio, Star TV ndio alikuwa anaendesha hiko kipindi cha muda mrefu sana kilikuwa kinaruka saa7 mchana kama sikosei
Yes Mchana!! Anapiga ngeli ya kufa mtu huku kapiga glass zake nyeusi hatari faya.
 
Hivi 'Tobby the Splash' alikuwaga RFA yuko wapi? Ila kiukweli jamaa wa radio zamani walikuwa wakali sana.
Acha tu ukija starTv taarifa ya habari kuna mrembo JOAN ITANISA na pia alikuwa anatangaza kipindi Dunia ya Urembo ila kwa sasa huyu dada kuna Shavu kala kama Msemaji hivi juzi juzi nilimsikia akihojiwa sema nimekuta mwishoni nikashindwa kujua ana represent kampuni gani.
 
Aliwahi kutoa ngoma na benpol akisimama kwenye chorus,Anamwagika yai balaa
 
Binafsi the cruise naifahamu ya dj jd tu, hao wengine sikuwahi waskia kwenye hicho kipindi
Akianza tu DJ JD mixing zake lazima utajua yupo in da house lazima aanza na Amyth 123 au Justin Timberlake ft Timberland oh no au Luv dont Love me -erick benet hiyo ni 2001-2002
 
AISEE NI KWELI WEWE UNAMJUA DJ JD VIZURI SABABU KWENYE PLAY LIST YAKE HIZO NYIMBO HAZIKOSEKANAGI ONGEZEA JA RULE BETWEEN ME AND YOU,
HASWA HUO WA AMYTH 123 SIJAWAHI KUUSIKIA KWA MA DJ HAWA WENGINE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akianza tu DJ JD mixing zake lazima utajua yupo in da house lazima aanza na Amyth 123 au Justin Timberlake ft Timberland oh no au Luv dont Love me -erick benet hiyo ni 2001-2002
Sasa miaka hiyo 2001, kuna watoto ndio wamezaliwa , na sasa hv ndio wanatapika shit wakiwa nyuma ya keyboard na kuona ww hujui kitu, Daahhh hahahah
 
Acha tu ukija starTv taarifa ya habari kuna mrembo JOAN ITANISA na pia alikuwa anatangaza kipindi Dunia ya Urembo ila kwa sasa huyu dada kuna Shavu kala kama Msemaji hivi juzi juzi nilimsikia akihojiwa sema nimekuta mwishoni nikashindwa kujua ana represent kampuni gani.
Yuko Mwanza huko huyo Dada kawa Kibonge sikuhizi
 
Back
Top Bottom