Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

Steve kafire nimeanza kumfahamu akiwa StarTv na kipindi chake cha "SuperTraxx" back ground akiwa anapiga instrumental ya The Corner (COmmon ft Last Poets) hiyo ilikuwa around 2005-2006.....Alikuwa anapiga PIN hiphop za maana sana!!
Wewe mwenzangu na mie,binafsi huwa namkumbuka sana 2004 alikuwa na kipindi Kiss FM kikiitwa hip hop dangen.Ilikuwa lazima nisikilize kuanzia saa 7 mpaka saa 10 akiwa na Jeff Jerry kama sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshaurini arudi kutangaza hiyo TVE itapata viewers maradufu...
suala sio Kutangaza, ila unakuja kutangaza kitu gani, je TV Station ina gap la Airtime, Content utakayotangaza itakubalika, kuna kuanzisha kipindi kikafeli na kufanikiwa
 
suala sio Kutangaza, ila unakuja kutangaza kitu gani, je TV Station ina gap la Airtime, Content utakayotangaza itakubalika, kuna kuanzisha kipindi kikafeli na kufanikiwa
Ok. Za kuambiwa changanya na za kwako mkuu. Kila la heri kwake ktk chochote anachofanya
 
those days
Acha tu mkuu,nilikuwa advance kipindi hicho sasa nikawa nasoma tuition center flani mbali na home na vipindi vimeachana.

Nakumbukua ilikuwa ikifika saa 6 na nusu nakuwa nimesoma physics na kemia then physics inabidi nisubiri mpaka saa 10 hv,so nikawa naenda kijiwe flani cha mafundi seremala karibu na center walikuwa washkaji nao wanapenda sana rap wana redio yao antenna ndefuuu basi nakaa hapo mwanzo mpaka mwisho wa kipindi kisha naenda malizia pindi la physics.

Siwezi sahau.
 
Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza,

Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale anapokuwa nyuma ya Mic huchoki kumsikiliza,

Wengi walimfahamu huyu mtu pale alipokuwa akitangaza The Cruise ya East Africa redio, ulikuwa hubanduki kipindi kilichokuwa na Playlist iliyoshiba, Story kali za Mamtoni, Updates ya video games na Chat matata iliokiwa ikimaloza kipindi pamoja na Jinhle zilizoshiba ujazo wa vocal kali, ulikuwa huikosi The Cruise,

Baada ya Steve Kafire The Cruise ilishikwa na Seba the warior (Seba Mwaikambo), Baadae Sam Misago, then Kennedy the remedy na George Bantu, kisha King Smash na Queen fifi, ila Bado sijaona wakuifikia The Cruise ya Steve Kabuye mshikaji mwenye asili kutoka Uganda,

Any way mi nae stori zinataka kuwa nyingi, Huyu jamaa alisepa na akawa kimya, Unafahamu yuko wapi kwa sasa..?

Huyu mtu anakipaji tofauti na Utanhazaji alijiongeza na teknolojia hasa upande wa Graphix, Ukifatilia TVE kuna sauti yake inasikika kwenye tangazo la kunadi kipindi cha wanafunzi kitu kama Mchakamchaka,

Ila huyu bwana ndie anaetengeneza Motion Graphix za TVE pia yupo kwenye crew inayoandaa show ya HOMA inayoruka TVE, mchezo wote wa Graphix anasimamia yeye

Mfate kwenye ukurasa wake wa IG kuona kazi zake @firemannn.

Tuishie hapo kwa leo, nikutakie mfungo mwema



Mashine mtangazaji Chris wa Kiss FM badae akabadilisha jina jamaa sitamsahau kuna issue alini inspire sana then nikatoboa, salamu kwako Chris, I wish we link up bro.
 
Hv kaka kuna yule dada alikuwa anatangaza clouds fm kwenye kipindi cha xxl 255 miaka ya 2011 alikuwa anaanaitwa D end hv yupo wapi yule dada...?
 
Uzuri ni kwamba heading unauliza swali, kisha maelezo ya uzi yanatoa jibu.
 
Back
Top Bottom