Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

Sasa miaka hiyo 2001, kuna watoto ndio wamezaliwa , na sasa hv ndio wanatapika shit wakiwa nyuma ya keyboard na kuona ww hujui kitu, Daahhh hahahah
Acha tu mkuu,watoto wanajifanya wanajua sana kumbe weupe!! Yaani tunawatwanga kote kote old skool na Nu skool
 
hyo radio inaitwa nn..?
Bado unahitaji nikuelekeze jinsi ya kuuliza swali..?,
Hiyo redio inaitwaje..?
Iko Mkoa gani..?
Frequency zake ni zipi..?
Vipi Online inapatikana..?
Uliza kama hivo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…