Wewe mwenzangu na mie,binafsi huwa namkumbuka sana 2004 alikuwa na kipindi Kiss FM kikiitwa hip hop dangen.Ilikuwa lazima nisikilize kuanzia saa 7 mpaka saa 10 akiwa na Jeff Jerry kama sikosei.Steve kafire nimeanza kumfahamu akiwa StarTv na kipindi chake cha "SuperTraxx" back ground akiwa anapiga instrumental ya The Corner (COmmon ft Last Poets) hiyo ilikuwa around 2005-2006.....Alikuwa anapiga PIN hiphop za maana sana!!
Safi sn.....kipindi na muda gani anakuwepoYuko TVE
those daysWewe mwenzangu na mie,binafsi huwa namkumbuka sana 2004 alikuwa na kipindi Kiss FM kikiitwa hip hop dangen.Ilikuwa lazima nisikilize kuanzia saa 7 mpaka saa 10 akiwa na Jeff Jerry kama sikosei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshaurini arudi kutangaza hiyo TVE itapata viewers maradufu...Hatangazi tena, yuko upande wa Graphix
suala sio Kutangaza, ila unakuja kutangaza kitu gani, je TV Station ina gap la Airtime, Content utakayotangaza itakubalika, kuna kuanzisha kipindi kikafeli na kufanikiwaMshaurini arudi kutangaza hiyo TVE itapata viewers maradufu...
Ok. Za kuambiwa changanya na za kwako mkuu. Kila la heri kwake ktk chochote anachofanyasuala sio Kutangaza, ila unakuja kutangaza kitu gani, je TV Station ina gap la Airtime, Content utakayotangaza itakubalika, kuna kuanzisha kipindi kikafeli na kufanikiwa
Acha tu mkuu,nilikuwa advance kipindi hicho sasa nikawa nasoma tuition center flani mbali na home na vipindi vimeachana.those days
Kweli mkuu ilikuwa ni noma sana hip hop za kufa mtu.Wewe mwenzangu na mie,binafsi huwa namkumbuka sana 2004 alikuwa na kipindi Kiss FM kikiitwa hip hop dangen.Ilikuwa lazima nisikilize kuanzia saa 7 mpaka saa 10 akiwa na Jeff Jerry kama sikosei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo IG inatusaidia nini....upuuzi tu kumbenimekurahisishia handle yake ya IG unaweza mfollow nakuona picha zake, ila sijui picha zake zinakusaidia nini..?
Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza,
Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale anapokuwa nyuma ya Mic huchoki kumsikiliza,
Wengi walimfahamu huyu mtu pale alipokuwa akitangaza The Cruise ya East Africa redio, ulikuwa hubanduki kipindi kilichokuwa na Playlist iliyoshiba, Story kali za Mamtoni, Updates ya video games na Chat matata iliokiwa ikimaloza kipindi pamoja na Jinhle zilizoshiba ujazo wa vocal kali, ulikuwa huikosi The Cruise,
Baada ya Steve Kafire The Cruise ilishikwa na Seba the warior (Seba Mwaikambo), Baadae Sam Misago, then Kennedy the remedy na George Bantu, kisha King Smash na Queen fifi, ila Bado sijaona wakuifikia The Cruise ya Steve Kabuye mshikaji mwenye asili kutoka Uganda,
Any way mi nae stori zinataka kuwa nyingi, Huyu jamaa alisepa na akawa kimya, Unafahamu yuko wapi kwa sasa..?
Huyu mtu anakipaji tofauti na Utanhazaji alijiongeza na teknolojia hasa upande wa Graphix, Ukifatilia TVE kuna sauti yake inasikika kwenye tangazo la kunadi kipindi cha wanafunzi kitu kama Mchakamchaka,
Ila huyu bwana ndie anaetengeneza Motion Graphix za TVE pia yupo kwenye crew inayoandaa show ya HOMA inayoruka TVE, mchezo wote wa Graphix anasimamia yeye
Mfate kwenye ukurasa wake wa IG kuona kazi zake @firemannn.
Tuishie hapo kwa leo, nikutakie mfungo mwema
yuko Uganda kwa sasa