Steve Mangele: Haiwezekani mtu atoke kwao aje kwetu kutetea waasi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.

Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
 
Nae anaona ni bonge la Atlanta!
 
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.

Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Asili yake wapi huyu
 
Asee nimecheka Sana. Eti jamaa kaandaa kabisa press conference na mic na waandishi kibao.

Hii nchi jamani. Bora kukomaa Tu huku kusafishamikundu ya wazee.

Nyau de adriz
 
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.

Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Steve mengele ndo jina lake
 
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.

Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Hawa chawa huwa wanajisahau sana, hawajui kuna leo na kesho. Wawe wanaweka akiba ya maneno.
Nafuu kidogo machawa kama Tlaatlaah wanaotumia I'd feki.

Hakuna kosa lolote kwa Martha Karua, nk kuja kusaidia wapigania HAKi wa Tanzania.
Hao wajinga wanasahau kuwa Tanzania iliwahi kuwa kinara wa kusaidia watu wa nchi zingine walipokuwa wanapambana kujikomboa
 
Hawa jamaa Huwa wanazungumza kama wanaijua kesho
 
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.

Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Raisi wa Misiba Tanzania
 
Huyo ni kiongozi wa akina mama katika kundi la mama ongea na mwanao.

Michango yake huamuliwa na hali yake ya mzunguko wa mwezi.

Mtu anaediriki kula pesa ya rambirambi atakuwa na kipi cha maana anachoweza kuongea????
 
Back
Top Bottom