Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Jamani huko lumumba mpeni hata utendaji wa kijiji hiza kelele za uchawa zipungueKatika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
