mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nae anaona ni bonge la Atlanta!Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Talanta!Nae anaona ni bonge la Atlanta!
Huyu jamaa ni mpumbavu sanaNae anaona ni bonge la Atlanta!
Asili yake wapi huyuKatika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Huyu ni mhehe ,ila wahehe wengi ni watu poa sana...hii ni special caseAsili yake wapi huyu
Asee nimecheka Sana. Eti jamaa kaandaa kabisa press conference na mic na waandishi kibao.Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Steve mengele ndo jina lakeKatika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Watanzania tulivyo wapuuzi kanaweza kutamani kugombea Urais!Nae anaona ni bonge la Atlanta!
Hawa chawa huwa wanajisahau sana, hawajui kuna leo na kesho. Wawe wanaweka akiba ya maneno.Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.
Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
Hawa jamaa Huwa wanazungumza kama wanaijua keshoHawa chawa huwa wanajisahau sana, hawajui kuna leo na kesho. Wawe wanaweka akiba ya maneno.
Nafuu kidogo machawa kama Tlaatlaah wanaotumia I'd feki.
Hakuna kosa lolote kwa Martha Karua, nk kuja kusaidia wapigania HAKi wa Tanzania.
Hao wajinga wanasahau kuwa Tanzania iliwahi kuwa kinara wa kusaidia watu wa nchi zingine walipokuwa wanapambana kujikomboa
Raisi wa Misiba TanzaniaKatika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu.