Steve Mangele: Haiwezekani mtu atoke kwao aje kwetu kutetea waasi

Jamani huko lumumba mpeni hata utendaji wa kijiji hiza kelele za uchawa zipungue
 
Hili ni jiiibwa wala si binadamu
 
Atokee mtu hapo amzabe bao moja tu la uso 😡
 
Iron Lady Matha Karua ni useless kwenye siasa na mahakama za nchini mwake Kenya, na kwahivyo ni nonsense kwenye siasa na mahakama za Tanzania na africa Mashariki kwa ujumla.

Itoshe tu kusema,
maelezo ya makamu mwenyekiti wa ccm taifa Stephen Wasira dhidi ya matha karua yanatosha, hakuna haja ya kubabaika nae zaidi
 
Dogo,
Kijana wa kiume wacha kuendekeza njaa, ni dhambi
 
Huenda anahusika na shambulio la baba kitima
 
Yuko wapi Musiba Leo hii? Wakishatumika huwa wanatupwa kama kondom
 
Someni COMMENTS za Wajumbe hapa

 
Huyo ni kiongozi wa akina mama katika kundi la mama ongea na mwanao.

Michango yake huamuliwa na hali yake ya mzunguko wa mwezi.

Mtu anaediriki kula pesa ya rambirambi atakuwa na kipi cha maana anachoweza kuongea????
Huyu kutoka ukuwadi ,eti naye huko ndiyo think tank 😄
Ina ccm huko hawana watu wenye akili na upeo kuzungumzia
Mambo ya msingi

Ova
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250306-183123_1.jpg
    300.2 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…