Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

hizi zinaitwa chuki bila sababu! fatenu yenu kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha uzi huu

haja ipo sana steve mshamba fulani tu hapa mjini na udalali wa kukuwadia mademu ukibuma lazima apigwe dudu yeye.
 
inategemea ni jinsi gani mnamjadili mtu, kama kunajambo baya kalifanya litajeni, lakina hamna jambo baya lolote alilofanya mlilolitaja! ndo maana nikasema chuki isiyo na sababu
 
Mkuu warumi asante kwa kuelewa ninacho maanisha.

Steve kama kiongozi angekuwa ana busara asinge tumia njia hii kinyume chake na yeye anataka malumbano ili magazetii yaandike.

Hivi kwanini huwa anapenda malumbano na mabinti wa bongo movie?
 
Last edited by a moderator:
Na wapambe wake ndio mnaingia kazini sasa,haya twende kazi.

Mkuu kichomiz kina cho jadiliwa hapa ni busara na ukweli wa kauli ya Steve.

Kwangu mimi naona kama ana tafuta nalumbano yasiyo na msingi maana sioni kama kulikuwa na sababu ya kupublish ushauri unao mhusu wema binafsi kama si kutafuta magazeti yaandike.

Ni kweli kaongea ukweli pengine, lakini hii ndio ilikuwa busara ya mwisho ya kiongozi?

Kwangu mimi this is more than personal attack.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu warumi asante kwa kuelewa ninacho maanisha.

Steve kama kiongozi angekuwa ana busara asinge tumia njia hii kinyume chake na yeye anataka malumbano ili magazetii yaandike.

Hivi kwanini huwa anapenda malumbano na mabinti wa bongo movie?

Jamaa ana kamfumo dume flan ivi , anatak kuonekana yeye ndo yeye , akisema kitu Kasema , juzi alizinguana na batuli demu akamchana live , anawaonea akina wema kwa kuwa anawakuwadia kwa mapedeshee hvyo wema hawez ongea kitu atajifanya kama hajasikia
 
Last edited by a moderator:
inategemea ni jinsi gani mnamjadili mtu, kama kunajambo baya kalifanya litajeni, lakina hamna jambo baya lolote alilofanya mlilolitaja! ndo maana nikasema chuki isiyo na sababu
wewe pimbi hebu kaa huko shambani kwako, mambo ya mjini waachie watoto wa mjini wenyewe tunaujuwa upuuzi wa steve.
 
Jamaa ana kamfumo dume flan ivi , anatak kuonekana yeye ndo yeye , akisema kitu Kasema , juzi alizinguana na batuli demu akamchana live , anawaonea akina wema kwa kuwa anawakuwadia kwa mapedeshee hvyo wema hawez ongea kitu atajifanya kama hajasikia
Mkuu ni wazi huyu jamaa ana tatizo na kama ana kosa busara za kuongoza.
Huu ni unyanyasaji kabisa.
 
Mkuu ni wazi huyu jamaa ana tatizo na kama ana kosa busara za kuongoza.
Huu ni unyanyasaji kabisa.

Bongo movie wengi hawampendagi , hata yeye analijua hili , maana ni mchonganish na mnafk.
 
inategemea ni jinsi gani mnamjadili mtu, kama kunajambo baya kalifanya litajeni, lakina hamna jambo baya lolote alilofanya mlilolitaja! ndo maana nikasema chuki isiyo na sababu
Mkuu kama umefatilia comment zangu utagundua nini tunasema na sababu ya kumjadili.

Hivi tamko la Steve kwa Wema baada ya diamond kutoa Tunzo unaona lili kuwa sawa?

Kama hule ushauri ulikuwa una muhusu Wema kulikuwa kuna haja gani ya kuufanya public?
Uone kama Steve kakosea na ana tafuta malumbano na scandal kwenye magazeti?.
 
Kwanini walimchagua?
Au hakuwa hivi?
Steve ni tatizo lingine la bongo movie.

inasemekana kipindi cha uchaguzi Steve nyerere alipata support kubwa sana kutoka kwa mapedeshee wenye pesa chafu , hvyo walihakikisha mdau wao huyo wa ukuwadi anashinda , na si unajua nguvu ya pesa ilivyo?? Hata kama hupendwi hutapendwa tu kwa ajili ya pesa , uongoz wake aliupata kwa nguvu ya pesa chafu za vigogo
 
Uchaguzi haukuwa na rushwa yoyote warumi acha uongo, kuna vitu vilivyomfanya jamaa achaguliwe kimojawapo ni uchaguzi wa 2015 atawaunganisha wasanii na wanasiasa kwenye kampeni, angalia uchaguzi wa ridhiwani chalinze na alivyowapeleka wenzake kutambulishwa na CCM akati ye kajifungia ndani na mke wake

Ukiwa msanii wa filamu ukigombana na steve jiandae kumuomba msamaha hata kama akiwa siyo kiongozi wa bongo movie

Angalia nafasi aliyopewa juzi kuwa balozi wa wasanii Tanzania kwanza bunge maalumu katiba la nje sa hivi wasanii wote wanamganda tuu hizo nafasi kumi alizopewa awaingize
 
Last edited by a moderator:

ukuwadi pia una nafas yake , Jamaa ana support kubwa kutoka kwa vigogo na ndo waliomsababishia ashinde iwe kwa uchaguz wa 2015 au ukuwadi. In short Jamaa anakula na vigogo , na usitake kubisha eti kura zilipigwa akachaguliwa wakat hata wewe ukweli unaujua kuwa ni vigogo wapo nyuma yake
 
Last edited by a moderator:

Sasa kwanini ana msema wema wakati hata yeye ana kula kupitia Migongo ya watu?
Sasa ana tofauti gani na Wema?
Kweli Nyani aoni...........
 
Sasa kwanini ana msema wema wakati hata yeye ana kula kupitia Migongo ya watu?
Sasa ana tofauti gani na Wema?
Kweli Nyani aoni...........

Ndio apo sasa , maana hata yeye hana kazi nyingi sana sokoni kama ilivyo kwa wema sepetu. Ndo kazi yake inayompa jeur maana ana nyumba na magar mawil , moja inasemekana alinunua kipindi cha msiba wa marehemu kanumba maana walichakachua pesa nyingi sana kwenye ule msiba , in short ndo tabia yake , ukipata msiba usimpe uongoz steve , maana kuna msiba wa msanii flani ulitokea yeye akatuma message kwa viongoz wenzie akiomba eti awe mweka hazina , in short hizo ndo mishe zake anaish ki ujanja ujanja kama wema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…