Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Hizi sifa sifa uwaponza wasiojielewa , hata akifa kusahaulika hatochelewa.
bongo movie ni BUNGE movie wrt sex.
hakuna jipya wote kazi imewashinda wamebakiza ushoga na uchawi ndio habari yao.

Much respect to LUPITA
 
Mkuu kichomiz kina cho jadiliwa hapa ni busara na ukweli wa kauli ya Steve.

Kwangu mimi naona kama ana tafuta nalumbano yasiyo na msingi maana sioni kama kulikuwa na sababu ya kupublish ushauri unao mhusu wema binafsi kama si kutafuta magazeti yaandike.

Ni kweli kaongea ukweli pengine, lakini hii ndio ilikuwa busara ya mwisho ya kiongozi?

Kwangu mimi this is more than personal attack.

Hapo nimekuelewa mkuu,kuhusu busara mimi naona huyo kiongozi hana kabisa kwani kumekuwepo na malalamiko mengi sana juu yake,na je ni kwa nini walimchagua kuwa kiongozi wao?
 
Last edited by a moderator:
Hapo nimekuelewa mkuu,kuhusu busara mimi naona huyo kiongozi hana kabisa kwani kumekuwepo na malalamiko mengi sana juu yake,na je ni kwa nini walimchagua kuwa kiongozi wao?
Msome Mkuu warumi utaelewa kwa nini amekaa hapo pamoja na matatizo aliyo nayo.
 
Last edited by a moderator:
Cc warumi Mrembo by Nature
Mkuu msimamia kucha asante kwa kunielewa.
Sasa tuanze safari ya Mjadala.
Steve ni kiongozi wa bongo movie je una liongeleaje tamko lake kuhusu Wema baada ya Diamond kupata Tunzo? Unaona liko sawa kama kiongozi?

Km kiongozi alipaswa kukaa na Pande zote (kajala na wema) kabla ya kutoa tamko (ambalo pia hakupaswa kulitoa IG, pia nilimshusha pindi alipohamasisha kususia msiba wa mzee sepetu kisa wema si mwendaji misiba), pia kuhusu umaarufu wa wema hakuwa fair
 
Last edited by a moderator:
kasema ukweli mtupu umaarufu unakuwa nao lakini haujakuletea mafanikio miaka inaenda na asifikiri siku zote atakuwa kwenye peak kama ana masikio na asikie ushauri anaopewa

Hata kuwa na uwezo wa kula na kulala vizuri, huumwi ni mafanikio. It all depend on how you define neno mafanikio
 
Km kiongozi alipaswa kukaa na Pande zote (kajala na wema) kabla ya kutoa tamko (ambalo pia hakupaswa kulitoa IG, pia nilimshusha pindi alipohamasisha kususia msiba wa mzee sepetu kisa wema si mwendaji misiba), pia kuhusu umaarufu wa wema hakuwa fair
Huyu ana mambo ya kitoto sana alaf naona kama ana msakama Wema.
 
Kweli bwana hata mi huwa namuona uyu jamaa km anatakaga public attention kwake ila ndo ivo tena hana nyota ya umaarufu
 
I short Steve akajishauri yeye Kwanzaa Ndipo amshauri wema. At least wema ni mwanamke atahongwa au kuolewa (japo haipaswi iwe sababu ya kutowajibika) ila Steve ni mwanaume ambae Ana familia na Kama ataendeleza udeiwaka mjini hapa ataliwa Tigo bila kujijua. Yeye Steve Ana nini kwa Mfano tukianzia kwake?
 
Duh nilikuwa jukwaani naangalia tu match sasa niko kwa patch
Maneno yako makali sana
 
Back
Top Bottom