qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Hivi kwanini umri wa huyu huwa haupandi?
Mkuu kichomiz kina cho jadiliwa hapa ni busara na ukweli wa kauli ya Steve.
Kwangu mimi naona kama ana tafuta nalumbano yasiyo na msingi maana sioni kama kulikuwa na sababu ya kupublish ushauri unao mhusu wema binafsi kama si kutafuta magazeti yaandike.
Ni kweli kaongea ukweli pengine, lakini hii ndio ilikuwa busara ya mwisho ya kiongozi?
Kwangu mimi this is more than personal attack.
Msome Mkuu warumi utaelewa kwa nini amekaa hapo pamoja na matatizo aliyo nayo.Hapo nimekuelewa mkuu,kuhusu busara mimi naona huyo kiongozi hana kabisa kwani kumekuwepo na malalamiko mengi sana juu yake,na je ni kwa nini walimchagua kuwa kiongozi wao?
Mkuu Mrembo by Nature kwa nini unasema hivi?
Kuna habari niliona sehemu na nimeitafakari na niliona kama alikosea sasa sijui kama watu au wewe una mjudge kwa habari hiyo ndio maana nauliza kwanini?
Cc warumi Mrembo by Nature
Mkuu msimamia kucha asante kwa kunielewa.
Sasa tuanze safari ya Mjadala.
Steve ni kiongozi wa bongo movie je una liongeleaje tamko lake kuhusu Wema baada ya Diamond kupata Tunzo? Unaona liko sawa kama kiongozi?
kasema ukweli mtupu umaarufu unakuwa nao lakini haujakuletea mafanikio miaka inaenda na asifikiri siku zote atakuwa kwenye peak kama ana masikio na asikie ushauri anaopewa
Ngoja Mrembo by Nature akusikie
Ufupi tu
Huyu ana mambo ya kitoto sana alaf naona kama ana msakama Wema.Km kiongozi alipaswa kukaa na Pande zote (kajala na wema) kabla ya kutoa tamko (ambalo pia hakupaswa kulitoa IG, pia nilimshusha pindi alipohamasisha kususia msiba wa mzee sepetu kisa wema si mwendaji misiba), pia kuhusu umaarufu wa wema hakuwa fair
Wathubutu waone.. Wajekutetea upuuzi wake
wewe pimbi hebu kaa huko shambani kwako, mambo ya mjini waachie watoto wa mjini wenyewe tunaujuwa upuuzi wa steve.
I short Steve akajishauri yeye Kwanzaa Ndipo amshauri wema. At least wema ni mwanamke atahongwa au kuolewa (japo haipaswi iwe sababu ya kutowajibika) ila Steve ni mwanaume ambae Ana familia na Kama ataendeleza udeiwaka mjini hapa ataliwa Tigo bila kujijua. Yeye Steve Ana nini kwa Mfano tukianzia kwake?
Hata Napoleon alikuwa mfupi lakini katetemesha Ulaya yote.
Sema jingine.
Umri unakimbia akati ana miaka 22 bado kinda sana