Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
aaa yupo kwenu DAR shinyanga hatupendagi ujingaHehe huyu jamaa hata nilikua simjui anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
Na wengine toka Mawemilu na Lyabukande.Kwanza huyo Steve anamzidi nini Lukondya mabiti?Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.
Kweli kabisa yan simkubali naona anajiaibishaga2Huyu jamaa steve nyerere anatafuta kiki kwanza hajuagi kuchekesha ht kdg
Si ndo wanaokodiwa Na ccm waongee pumba kwenye mediaLosers become haters huyu jamaa hata sura yake imekaa kinafki nafki, anaishi mjini kwa mgongo wa ccm Sanaa kushney long long a go!
Una maana ya Ikombabuki???? Ukenyenge nako wanamjua??? Nakachukia sana haka ka Steve. Hovyoooooooo...........Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.