Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

aaache kujilinganisha na watu zaidi yake

Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.
 
aaa yupo kwenu DAR shinyanga hatupendagi ujinga
 
Yaan huyo steve bado sana.wala hajui kuchekesha.alaf mbona eric omondi anachekesha pia majukwaani.
Kingine pia steve mshamba maana anasema hamjui eric omondi wakat ni mmoja wa watu maarufu east africa.
 
Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.
Na wengine toka Mawemilu na Lyabukande.Kwanza huyo Steve anamzidi nini Lukondya mabiti?
 
Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.
Una maana ya Ikombabuki???? Ukenyenge nako wanamjua??? Nakachukia sana haka ka Steve. Hovyoooooooo...........
 
Back
Top Bottom